Medical lab vs Biotechnology & Molecular Biology

Soyuncu

Senior Member
Nov 20, 2019
193
224
Hii battle ilikuepo sana miaka ya nyuma speech ya wazili wa afya juzi kaja kuliibua tena baada ya kusema taifa lina upungufu wa wataalam wa *biotechnology and laboratory science* (hawa wanatoka pale SUA kila mwaka) na wataalam wa molecular biology ( wanazalishwa pale UDSM) Raia wanadai wizala ya afya haiwatambui.. Hawa wanadai kazi zao zinamezwa na hawa MEDICAL LAB..( BMLS) wanaotolewa kila mwaka pale... 1. MUHAS 2. CUHAS( bugando) 3. KCMC.. 4. KAMPALA (KIU).. Na hawa Ndio wanaotambuliwa na wizala ya afya..

Biotechnology wanadai hawana balaza Lao na kama lipo bas goi goi sana. kama ilivyo kwa 1. wataalam wa maabara (MELSAT) 2. Manesi (TPNDC) 3. Famasia 4. Madaktali. haya mabalaza kaz yao kubwa ni kutoa leseni za kaz kwa wataalamu Wao baada ya kufanya mitiani yao.. Na hio leseni Ndio utakayoituma pia wizala ya afya wakat unaomba kazi.. Bila ya hio kupata kazi wizala ya afya ni ndoto.. Na kazi nyingine za serikalin kama tamisemi na taasis nyingine.. Sasa hawa biotechnology & molecular hawana hayo mabalaza na Ata kama yapo hayana power..

Unajua maabara pana sana na kuna vitengo mbali mbali 1. Clinical chemistry 2. Haematology 3.histotechnology 4. Parasitology 5. Microbiology 6. Molecular biology ( japo hapa mtu wa medical lab Anasoma kidogo tofaut na mtu anaeisoma kwa miaka 3) na ivo vitengo vyote medical lab anavisoma..

KUNA LAB LABOUR NA RESEARCHER.
binafsi namfahamu biotechnologist kwnye afya kama mtu wa scientific research zaid agundue vitu ili medical lab aje kumuhudumia mgonjwa.. Agundue ANTI- SERA medical lab aje apime blood groups za mgonjw agundue rapid test kits medical lab aje kutumia. Ndio mambo yanavyokwenda unajua mambo ya afya ni team work.. Huyu anafanya ichi yule kile gurudumu linakwenda. Tatizo linakuja uko kwnye izo research center

Biotechnology pia wanafit sana viwandani ila uko pia compition ipo kwa waliosoma " laboratory science " na walisoma chemistry... Balaa linakuaja apo aende Wap TFDA Anafit ila pharmacist wamejaa na wamepiga pini leseni lazima za ufamasia.. Akienda kwa mchemia mkuu hapangailiki wazee wa chemistry wapo.., akija national lab medical lab wamejaa na bila ya leseni zao hauingii.... Akitia pua NIMR nako pa moto... Akija TBS napo balaa. solution iliyobak ni. GLCA ambapo chance chache... Binafs namuona biotechnologist sio wa kukaa hospital nae apime U.T.I Au HB apana nais hajatengenezwa Kua ivo..

Nin kifanyike ikiwa hawa wataalam wanazalishwa Kila mwaka bongo.. Nais kwa bongo demand ya medical lab ni kubwa kuliko biotechnologist.. Ila kwnye mataifa yaliyoendelea biotechnologist & molecular & medical lab.. wana Kua na kazi zao kama kawa na medical lab.. Kila mtu anakua na majukumu yake.... Shida ipo kwnye aya mataifa yetu yanayoendelea...

NB. Sipo hapa Ku compare course IPI ngumu kuliko nyingine.. Wala IPI ina soko sana kuliko nyingine. Ukinipinga kwa hoja itakua poa zaid..

Niwie radh kwa uandishi mbovu..

I Stand to be corrected..
 
Hii battle ilikuepo sana miaka ya nyuma speech ya wazili wa afya juzi kaja kuliibua tena baada ya kusema taifa lina upungufu wa wataalam wa *biotechnology and laboratory science* ( hawa wanatoka pale SUA kila mwaka) na wataalam wa molecular biology ( wanazalishwa pale UDSM) Raia wanadai wizala ya afya haiwatambui.. Hawa wanadai kazi zao zinamezwa na hawa MEDICAL LAB..( BMLS) wanaotolewa kila mwaka pale... 1. MUHAS 2. CUHAS( bugando) 3. KCMC.. 4. KAMPALA ( KIU).. Na hawa Ndio wanaotambuliwa na wizala ya afya..
Hizo ndio sarakasi za watanzania. Kuna makosa yalitendeka katika kutengeneza mitaala iliwa ni pamoja na kutohusisha baraza husika. Lakini makosa hayo hayakuwa makubwa kiasi cha wao kushindwa kuyatatua, lakini kulikuwa na kulinda ajira la kundi fulani matokeo yake hawa wa SUA etc wakatemwa kutoka lab za afya. Sina hakika kama wamesha limaliza hilo. Sasa baada ya waziri kulizungumzia sioni kwa nini lisifikie mwisho (na vijana wapate ajira) kwani hasara ni kwa Tanzania.
 
Hiyo ndo tatzo ya wataalam wanaozalishwa bongo Mimi nafaham mataifa ya wenzetu watalaam wa biotechnology & microbiology & molecular biology Wana demand kubwa sana kuliko bongo labda bongo Mambo takee kubadilika baadae sana
 
Bongo demand yao ndogo.. Ila kwa mataifa yaliyoendelea

Medical lab
Biotechnology
Molecular biology

Kila mtu na majukumu yake..

Tule mtori wataalam Nyama tutazikuta chin
Hiyo ndo tatzo ya wataalam wanaozalishwa bongo Mimi nafaham mataifa ya wenzetu watalaam wa biotechnology & microbiology & molecular biology Wana demand kubwa sana kuliko bongo labda bongo Mambo takee kubadilika baadae sana
 
Hiyo ndo tatzo ya wataalam wanaozalishwa bongo Mimi nafaham mataifa ya wenzetu watalaam wa biotechnology & microbiology & molecular biology Wana demand kubwa sana kuliko bongo labda bongo Mambo takee kubadilika baadae sana
Tatizo bongo hatuna maabara nyingi za utafiti na ugunduzi wala utengenezaji.

Wenzetu huko ukiskia wanasanyansi ndo hiyo mijamaa inayoshinda lab 24/7
 
Back
Top Bottom