Medical Doctor (MD) anahitajika

Medical Doctor (MD) anahitajika

drndasika

Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
63
Reaction score
34
Daktari (MD) anahitajika eneo la Kiluvya, preferably ambaye anaishi maeneo ya Kibaha, Kibamba, Kiluvya kwa mawasiliano zaidi piga 0758918144 au tuma application kupitia e-mail jndasika3@gmail.com
 
Akipatikana ambaye ni mstaafu itapendeza zaidi,kwa ajili ya kutoa huduma za tiba
Unajua maana ya kustaafu. Utaratibu wa kustaafu uliwekwa makusudi kwa sababu kadiri umri wa mtu unavyokwenda na cognitive ability inapungua. Kwanini usichukue damu changa ukawaacha wazee wapumzike
 
Damu changa hawatulii,
 
KWANI KASOMEA NINI? MASWALI MENDINE YANAUDHI ATAKUWA DAKATRI AITWE KUUZA MAFUTA YA TAA AU MBAO?
We ndio mpuuzi na huna exposure......... Medical doctor si kama uhasibu ama engineer, MD anaweza provide medical services ama surgical, anaweza fanya public health issues, anaweza fanya ebtomological and parasitological surveillance, anaweza fanya preventive services, anaweza fanya environmental health services, anaweza fanya reaserch, anaweza kufundisha kwenye ngazi za chini za kozi zingine....... Hujiulizi kwa nini degree ya kwanza anaitwa doctor wakati wengine hadi wa na degree 3 ndio waitwe hivo?.......... Kusema majukumu ya MD ukitangaza kazi ni muhimu.... MD is unclassified universal degree
 
Hiyo ina kuwa kwenye Job contract na siyo kwenye advertisement.
 
Uanze tu kuulizia job contract wakati hata hiyo kazi yenyewe haijulikani, kwani kuna tatizo gani tangazo likiwa very clear na kuondoa mkanganyiko huu usiokuwa na lazima
 
Kazi aliyoitangaza inamfaa mtu mwenye sifa za MD anyejiona ana sifa hizo atakwenda na ataambiwa unatakiwa kufanya moja mbili tatu ambayo yote yamo ndani ya sifa za MD sasa hayo unayoyataka labda kama una mashaka na Elimu yako pia kumbuka tangazo linachajiwa kutokana na maneno uliyoaandika key point noted.
 
We ndio mpuuzi na huna exposure......... Medical doctor si kama uhasibu ama engineer, MD anaweza provide medical services ama surgical, anaweza fanya public health issues, anaweza fanya ebtomological and parasitological surveillance, anaweza fanya preventive services, anaweza fanya environmental health services, anaweza fanya reaserch, anaweza kufundisha kwenye ngazi za chini za kozi zingine....... Hujiulizi kwa nini degree ya kwanza anaitwa doctor wakati wengine hadi wa na degree 3 ndio waitwe hivo?.......... Kusema majukumu ya MD ukitangaza kazi ni muhimu.... MD is unclassified universal degree
Md kazi yake ni kutibu ndicho alichosomea...huko kwingine ni kulazimisha tu hata kama atafanya basi kwa njaa na ulafi wa hela ila hatokua competent kama angetibu wagonjwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom