Piga mahesabu kama kesi akishinda itakugharimu kiasi gani, kama itakugharimu sana tafuta mwanasheria
Pili, kama ni kesi ya kwanza kabisa kwa kampuni yako kupelekwa CMA, tafuta mwanasheria and make sure unashinda, ukishindwa jiandae kupelekwa huko mara kwa mara
Tatu kwa ajili ya kupata experience ya CMA make sure una attend, na usiwe muoga hamna kufungana pale
Nne na la msingi, fuata sheria katika ku deal na employees, kila kitu kiwe formal, hauna udhibitisho unashindwa
Just incase umepangiwa kwa mh. Batenga jiandae kisaikoloia kwa dharau zake