myoyambendi Vp ulifanikiwaa kupata channels
Kaka
Chief-Mkwawa na mm nina hii decoder. Nimejaribu kuunganisha kwa kutumia dish la dstv kupitia satelaiti kadhaa... Channel zinaingia lakini hazionekani inaonesha smartcard failure
Sina uzoefu na hii kitu nimepewa decoder ina kadi 2 abudhabi na aljazeera. Any hints