PostGE2025 Media za Tanzania mlipewa hongo mkawapuuza wananchi?

PostGE2025 Media za Tanzania mlipewa hongo mkawapuuza wananchi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Media za Tanzania hawakutimiza wajibu wao kuripoti matukio yanayohusiana na uchaguzi na Vurugu zacha

  • Waliripoti matukio yanayohusiana na uchaguzi na Vurugu

    Votes: 0 0.0%
  • Hawakuripoti vurugu wala vifo vya waandamanaji

    Votes: 1 50.0%
  • Walizibwa midomo hivyo wakakosa namna ya kuripoti

    Votes: 1 50.0%

  • Total voters
    2
Watabaki kusema yale yalikuwa sio maandamano ni kikundi cha wezi ilihali wanajuwa fika ukweli moyoni, oke sawa whatever you call it vurugu zinetokea watu wamekufa .mali zimeharibiwa kwanini haubalance kupost vyote kwanini uchague kimoja. Vyombo vya habari ni takataka na wanepewa pesa kuziba kelele ni wasalaiti na hawapaswi kusamehewa
 
Inasikitisha media zote kuanzia Television stations, magazeti na online TV msiripoti Hata kifo kimoja kwa vurugu za uchaguzi? Al Jazeera wanatangaza watu zaidi ya 10,000 wameuliwa ila bongo kimyaa!. Hakika hii dhambi mtailipa. Pesa zitakwisha, Watanzania watabaki washindi
Walinunuliwa kwa vipande saba vya shekeli😂 ina shangaza media zote kuwa mabubu😁 japo EATV walijitahidi kuonesha maafa kiugumu ugumu!
 
Walinunuliwa kwa vipande saba vya shekeli😂
Wengine hata bado hawajanunuliwa... wapo kwenye harakati za kujiuza
1000039838.gif
 
Yani we bado unahangaika na media ambazo wahariri wapo tcra? mwenzenu nishatoka huko, ukipita kwangu siku hizi utasikia tu;
"alizaliwa mumbai, ana urefu wa nchi sita,akikupiga ngumi hapa inakuhamisha mpaka burundi" NUKTA
 
Yani we bado unahangaika na media ambazo wahariri wapo tcra? mwenzenu nishatoka huko, ukipita kwangu siku hizi utasikia tu;
"alizaliwa mumbai, ana urefu wa nchi sita,akikupiga ngumi hapa inakuhamisha mpaka burundi" NUKTA
...
Wanamuita Djmark acheche production
 
kupata habari kamili za kina ,za kiuchambuzi na za kuaminika inaenda kuwa ngumu mana media nyingi hususani redio na televisheni pamoja na magazeti.. si tu za bongo ni karibu zote duniani.. zimekuwa zikitumika kisiasa na watawala.

njia pekee kupata habari.. walau za kina kidogo ni kupitia social media.
 
Back
Top Bottom