KabisaCha kushangaza wote hakuna anayekiri kuwa amekuwa inspired na Ruge.
Unafiki ndani ya damu.
Hapa ndipo wabongo tunapofeli, alikiba kaingiaje hapo? Au alikiba ndio mmiliki wa clouds?Hakuna kilichopo kipya zaidi ya ubunifu Tu, hayo yote yalishafanyika miaka ya nyuma. Tulia wewe team alikiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Anachomaanisha mtendaji nadhanj ni kwamba jina la kipindi ni lingine lakini utendaji unakua na wa kuiga uleuleHapa swala sio copy and paste..hapo ni unajarbu tu kuweka league
Kuna vitu ni common..kinachotakiwa ni uboreshaj tu...
Kwani radio ngapi zina top 10 au top 20? Kwaiyo hapo tuseme nazo ni copy n paste?
Vipindi vya taarabu nazo ni copy n paste? Vipo vingap hpa Tanzania?
Swala ni uboreshaji tu na ubunifu kwa vipind hivyo hivyo vilivyopo
Kwaiyo kisa kuna peps,hutak Coca-Cola iwepo?
Ndiomana kuna matamasha vile vile...kila mmoja ana uboreshaji wake...
Anyways mkuu msalmie diva hapo mjengon
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesoma vizuri kuna EFM hapo na EA Radio hapoKichwa cha habari mbona hakiendani na yaliyomo..nilitegemea utashusha list ya izo media mbari mbari zilizo copy na ku paste .ila nme ona ni zile zile za clouds vs wasafi
Bongo kuna media mbili tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
The Cruise ni kipindi kikokngwe sana kuliko hivo viwili, Maudhui Ya Amplifaya, The Cruise na Block 89 ni tofauti kabisaEA Radio - The Cruise,
Clouds Fm - Amplifaya
Wasafi Fm - Block 89.
Hivyo vipindi [emoji3516]moja ni baba, mbili ni mama na tatu ni mtoto.
Unforgetable