Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,258
- 6,694
Tusiwaseme sana, hao ni watanzania ndugu zetu tunaishi nao, huyo millard angekua kaka yako ungemshauri vipi? Hii ni kazi yetu sote, hao watu maarufu na media ni wachache kuliko sisi, kila mtu angepaza sauti hapo nyuma tusingefika huku,
Tatizo ni kwamba wote tumenyamazishwa midomo na wachache wanaojilipua wanaishia pabaya na hiyo ni guarantee.
Tatizo ni kwamba wote tumenyamazishwa midomo na wachache wanaojilipua wanaishia pabaya na hiyo ni guarantee.