General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Naam!!
Katika wakuu wa mikoa ambao wanafanya kazi yao kwa utukufu uliotukuka ni Meck Sadick, mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Huwezi sikia matamko ya hovyohovyo katika mkoa huu, huwezi sikia jambajamba za ajabu kama za wakuu wa mikoa mingine.
Meck Sadik anaelewa asili ya watu wa hapa, anaelewa jeuri yao. Kwa kulitambua hilo anatumia busara ya hali ya juu kuongoza mkoa huu.
Sasa KLM inaimarika kiuchumi, jiji lazidi kupendeza kwa usafi na nidhamu ya hali ya juu.
Hali ya hapa imetulia sasa, huwezi kuta vurugu za machinga na police, huwezi kuta matamko ya ajabu ya RPC au Sadick mwenyewe kuzuia maandamano (UKUTA).
RC na RPC wanaelewa watu wa hapa, wanatambua kwamba wanaishi na watu wenye uelewa na uwezo wa hali ya juu kuamua kufanya mambo yao.
Posho za madiwani wa Chadema nasikia ni 120,000 kama zile za Arusha lakini huwezi ona vurugu za Rc au DC akipambana na madiwani wa Manispaa.
Meya wa Moshi,Mkuu wa mkoa na mkurugenzi they work as a team, wana heshimiana kwa kutambua mipaka ya mwenzake, wanaongoza kwa katiba na sheria ya manispaa yetu.
Nawapongeza sana kwa kuufanya mkoa huu kuwa imara, mkoa usiopelekeshwa na kauli za uchwara kama nani hii.
Maandalizi ya UKUTA yanaendelea vizuri.
Karibuni KILIMANJARO.