ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,338
- 15,067
Sijui ni kitu gani kilitokea hadi dominance na ukatili vikawa sifa za ME....... Sipo appreciate kwa miguno ya kulia utaachika.Hahahaahhahahaahahahahaha angalieni msiueeeee!
Sijui ni kitu gani kilitokea hadi dominance na ukatili vikawa sifa za ME....... Sipo appreciate kwa miguno ya kulia utaachika.Hahahaahhahahaahahahahaha angalieni msiueeeee!
Hee hivi inaanza lini?
he he he yaani hapa nipo safarini narudi home lazimia nipitie sokoni kununua tendeNajua Wanaume hapa wamepata kitu hapa!!!
Umeniwahi aiseeh. Kama ushamaliza case nirushie namba pia chembaHebu nipasie huyo anaeyeweka Ndimu niende nae maana mimi situmii kiongezacho chochote.... ila yeye mwambie atume aonacho chamfaa... kustahimili