Unaongeza nguvu za kiume,huku kuna kinywaji kinachoma maini yako...
By the way Jiamini na Nguvu ulizonazo,Upigaji mbunye sio vita,utafia kifuani kwa manzi ohooo..
Wanaume wa dsm mbwembwe nyiingi. Nazi zann kwenye maji ya mende??
Unatakiwa kugonga kilo na nusu ya kitimoto na ndz au mguu mzima wa mbuzi choma na ugali dona baada ya hapo unakaa kama dk 40 ndio unaanza kushusha glasi. Baadae gemu likikolea unaendeleza na mguu choma wa mbuzi ...