sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Sep 7, 2014 #1 Mechi baina ya Yanga na Big Bullets toka Malawi iliyokuwa ichezwe leo Taifa Stadium imeahirishwa. Source: Mwanaspoti FB Page. Nadhani lile Soka la kitabuni lililooneshwa na "Simba Starehe" jana limewachanganya mtaa wa pili.
Mechi baina ya Yanga na Big Bullets toka Malawi iliyokuwa ichezwe leo Taifa Stadium imeahirishwa. Source: Mwanaspoti FB Page. Nadhani lile Soka la kitabuni lililooneshwa na "Simba Starehe" jana limewachanganya mtaa wa pili.