boy 1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 414
- 395
Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho
Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar
Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi

hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa 

sembuse kigoma
Ni Bora sisi wa kwenye tv nikifungwa nazma nalala
Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar
Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi

hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa 

sembuse kigomaNi Bora sisi wa kwenye tv nikifungwa nazma nalala

🧉