brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 248
- 143
#wadau naomba kujua gharama za TIKETI mechi ya Simba kesho
#hiyo elfu 3000 ndiyo kiingilio au TIKETI zilizopo?3000 na Ahmed kasema bado zipo za kusaza ni kama Wana ubaya ubwela wanaiogopa mechi
Kiingilio mkuu we si umeuliza kiingilio na ukinunua jersey kwa sanda pale kariakoo unapewa na tiketi Bure ya 3000 jitahidi mwanasimba mjaze lupaso#hiyo elfu 3000 ndiyo kiingilio au TIKETI zilizopo?
#poa poaKiingilio mkuu we si umeuliza kiingilio na ukinunua jersey kwa sanda pale kariakoo unapewa na tiketi Bure ya 3000 jitahidi mwanasimba mjaze lupaso