admiral elect
Member
- Nov 30, 2011
- 93
- 29
pole kama imekuchananya,lengo langu ilikua kutoa ufafanuzi wa kina ili mnapochangia muwe na picha kamili .kwa kweli mie sijui kutafuta zilizopita kama utanisaidia nitashukuru.ni kweli matakwa binafsi ndio dawa lakini naona kama jamaa anaanza kunogewa maana nilimpomuliza experience ya huko akajibu tu not bad! na pia nadhani anampenda sana huyu demu na ameanza pia kujenga hali ya kumuonea huruma kutokana na maongezi yakeStory ndeeeeeeeeeeeefu utadhani mtihani ambao umekusudia kumchanganya mwanafunzi.
Nwy nadhani iliwahi anzishwa thread hapa kuhusu madhara ya hayo mambo kama unaweza jaribu kutafuta.
Kuacha hamna dawa, sio sigara hiyo.
Kitu kinachoweza kumwezesha kuacha ni matakwa binafsi, akitaka kweli kuacha na akajitahidi kufanya hivyo atafanikiwa.Otherwise . . . . hivyo ndivyo alivyo!!
pole kama imekuchananya,lengo langu ilikua kutoa ufafanuzi wa kina ili mnapochangia muwe na picha kamili .kwa kweli mie sijui kutafuta zilizopita kama utanisaidia nitashukuru.ni kweli matakwa binafsi ndio dawa lakini naona kama jamaa anaanza kunogewa maana nilimpomuliza experience ya huko akajibu tu not bad! na pia nadhani anampenda sana huyu demu na ameanza pia kujenga hali ya kumuonea huruma kutokana na maongezi yake
ok, nitashukuru,kinachonitia mashaka ni kuwa jamaa ni kama kachanganyikiwa vile yaani hajui cha kufanya,na isitoshe naona ni kama anaweza kuwa adicted halaf baade wakaachana akapata shidaSasa kama wote wanaonekana kufurahia we uko busy kutafuta antidote ya nini? Utamlazimisha rafiki yako aache au inakuwaje?
Nwy ntakuangalizia baadae kidogo.
Sasa kama wote wanaonekana kufurahia we uko busy kutafuta antidote ya nini? Utamlazimisha rafiki yako aache au inakuwaje?
Nwy ntakuangalizia baadae kidogo.
ni kweli mkuu angekataa, lakini kumbuka ahadi ni deni na reactor ikishawachemka huwa haiwi controlled kirahisi hivyomilango ya uani itawatokea puani.
Na huyo jamaa yako alipenda mchezo si angekataa? Mpaka kampaka mafuta huko alikua anataka
kwetu hiyo kitu mwiko kakakwan we unadhan ni rafik yake kwel au muhucka ni ye mwenyewe?hapo kaulza kiujanja tu,ila mhucka ni yeye.
Nimechoka na thread za kutunga si lazima kila mtu aweke thread yake hapa.ni mtazamo tu
ni huyu dada aliyekuwa nayo,msaada basi jamani hakuna madokta na wazoefu humu?nani alipeleka hayo mafuta?