ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Nasikia mnyama kapakatwa huko, kweli?
URA 2 simba 1
kwakweli inasikitisha.Nasikia mnyama kapakatwa huko, kweli?
Full time!
Simba1-2URA.
Rage must go!!!!
Timu inayo leta mabadiliko ktk soka la bongo ndio timu yangu msimu ulio pita tumechukua nafasi ya pili kwenye ligi. Au mkuu ulitaka nipende timu mbovu kama wewe? Timu za wababaishaji (Simba na Yanga) hazina nafasi moyoni mwangu cz mimi ni m-penda maendeleo.Hivi wewe ni timu gani?maana hauko Simba+Azam wala Yanga!!
Upoupo tu kama marehemu Saidi Mziray!
Nasikia mnyama kapakatwa huko, kweli?
Titizo hawa jamaa linalo waponza ni jina (Simba) haijulikani Simba jike, dume, mtoto, mzee wala kijana. nawashauri walirudishe lile jina lao la zamani (Sanda lendi)