Mechi ya Azam na Mtibwa kurudiwa!

Mechi ya Azam na Mtibwa kurudiwa!

EGPTIAN

Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
34
Reaction score
8
Kamati ya Tibaigana imeamua mchezo uliovunjika kati ya Azam na Mtibwa urudiwe upyaaaa!
Source:Sports Extra Clouds fm.
 
Soka la bongo bana utakuta refa hakuchukiliwa hatua.
 
kweli soka la bongo tunababaisha kweli..wametoa maamzi yao ila kikatiba ya TFF na CAF zinapingana kabisa hayo maamzi kutokana na mazingira ya mechi yenyewe., Azam wasikubali wakate rufaa tena na watashinda na Mtibwa kushushwa daraja..wait time will tell kwan viongozi wa Azam ni makini sana.
 
Back
Top Bottom