Mechi kubwa leo: Manchester United Vs Chelsea

Mechi kubwa leo: Manchester United Vs Chelsea

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Wale wapenzi wa mpira wa miguu kama ilivyo ada tukutane tena hapa kupeana updates za mchezo huu mkali unaotarajia kuanza saa moja kamili kwa muda wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu naamini utakuwa mkali kutokana na historia nzuri za vilabu hivi japokuwa watu wengi wanaipa asiliamia kubwa timu ya Chelsea kushinda lakini mimi naamini haitokuwa rahisi hivyo.

Karibuni sana tujadili kwa kile kinachotokea na kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom