Mechi hakuna lakini ameniganda kama ruba

Mechi hakuna lakini ameniganda kama ruba

Analika sana tu huyo. Hujajua tu timing za kumla. She wants it ila we ndo unashindwa kumuelewa. Kiufupi mnaendana kifizikia na kisosholojia tu. Lakini kikemia bado sana, jitahidi kijana.
Mapenzi yanaleta stress sana ndugu yangu (And u already have a wife for that). Just hit her mambo yataenda without stress za kupendapenda. Kampende mkeo huyo mle tu basi
 
Sikiliza mjomba emu siku 1 mtanie mwambie mimi nimegombana na mke wangu nishamuacha na simtaki tena nataka wewe ndio uchukue nafasi yake au kama pia hutaki basi mimi naoa mke mwengine.

Yawezekana shida ni mkeo ila yeye anaona shida kukwambia muachane na mke wako antaka utaamuli wewe mwenyeo.

1st Approach... Ila awe mvumilivu, hatopewa siku hiyo hiyo.
 
Ana miaka mingapi? Anakubali kutomaswatomaswa? Anakubali kuwa na wewe faragha mkiwa wawili tu? Ukute bado bikra, anaogopa dushe. Kama ni wa hivyo kwa mara ya kwanza, huwezi kwepa ubakaji. Akishaonja atakuwa anaifuata mwenyewe huko mkoani.

On a serious note, huwa inatokea kumpenda mtu kwa kawaida tu (kama unavyoweza kupenda mwanao, dada au ndugu mwingine). Mnaweza kuwa marafiki wazuri tu. Mtambulishe kwa mkeo (lahitaji umakini).
 
Eeeh story tu kula kwingine

Duuuh.. Kwangu Mimi hayo huwa masharti magumu sana.

Kwanini nisile wakati chakula kitamu kipo!?.. Mimi siwezagi kuwa na urafiki na KE, maana kinachofata na siri yake huyo "rafiki"
Evelyn Salt ungependa tuwe marafiki!?
 
Last edited by a moderator:
Aisee kuna wanawake ni kimeo.
katika muktadha huu inaweza aply na kwa wanaume.....2 yrs kama nina nia kweli ya kipochi manyonya kitakuwa nishakifumua.....ina miaka miaka yote miwili stori huwa zinaishia stationary tu.....
 
Halafu huo muda wa kuchart naye mpaka ucku, na kutumiana msg, kupigiana simu unaupata wapi, wakati unakuwa kwa mkeo....

Anza upya kutunga .....
 
Demu anatumia nguvu za Giza kwenye biashara yake hivyo basi kashateka nyota yako ndyo maama anakufuatilia pole
 
Duuuh.. Kwangu Mimi hayo huwa masharti magumu sana.

Kwanini nisile wakati chakula kitamu kipo!?.. Mimi siwezagi kuwa na urafiki na KE, maana kinachofata na siri yake huyo "rafiki"
Evelyn Salt ungependa tuwe marafiki!?

Urafiki wa kuombana nyuchi mi siutaki
 
Last edited by a moderator:
Hata Mimi ilinitokea, inafanana na hiyo niliposema nijaribu nikakataliwa, ikanibidi tukubaliane tu kuwa marafiki. Urafiki wetu wa kawaida umedumu toka 2008 mpaka sasa, siijawahi kumjaribu tena na tuaishi kama ndugu
 
Jamani mimi kuna kitu sikielewi, wataalam wa mambo ma mahusiano na psychology mnisaidie.

Mimi niko mikoani, ila nimekaa Dar kwa muda takriban miaka 9. Miaka miwili iliyopita nilifahamiana na dada mmoja, mzuri sana. Tulifahamiana vizuri mpaka akanishawishi nifike kwao nipafahamu. Anauza stationery ambapo kuna internet cafe. Basi ikawa nikija tu kutoka mikoani akijua lazima anishawishi kwa gharama yoyote ile nifike pale, tupige story.

Wakati mwingine hataki niondoke pale. Kwenye simu ananitumia sms nzuri sana na ni mpole na mkarimu sana. Ilifika hatua nikashindwa kujizuia, mwanaume nikawa nimempenda na hisia zangu zote aliziteka. Nilipomweleza, akasema haiwezekani kwa sababu mimi nimeoa nina mke. Akaniambia haijalishi mimi nina tatizo kiasi gani kwenye ndoa yangu maadam nina mke, hata nisipopata huduma miezi sita, yeye hawezi kunisaidia.

Baada ya kusumbuana muda mrefu, nikaamua kumuacha, wakati mwingine tunagombana nakata mawasiliano ili angalau nimsahau. Niliamua kumblock kwenye simu na kila aina ya social media. Lengo langu ilikuwa tu ili nisahau nisiendelee kuumia kwa ajili yake.

Akaanza kunitafuta kwa namba zingine, tukiongea mpaka ananibembeleza, wakati mwingine analia. Ananiambia ananipenda lakini isiwe mahusiano. Kuna wakati alinikubalia kwa masharti magumu sana ambayo hayatekelezeki katika uhalisia.

Kiufupi nimeshindwa kuelewa kwa nini ananisumbua kiasi hiki? Mimi sitaki anitafute nikimwambia asinitafute anasema hawezi kuacha kunitafuta, na hawezi kuacha kunitumia sms. Ni zaidi ya mwaka sasa tunasumbuana. Natamani sana nijue kilicho akilini mwake kinachomfanya awe ananihitaji sana wakati suala la mapenzi halipo.

We vumilia tu iko siku atalegeza masharti na utamfaidi vilivyo
 
Back
Top Bottom