Hii Simba ya sasa ni bora sana mkuu. Kucheza nayo huku mko pungufu ni mateso makubwa. Pia inategemea kadi nyekundu imetolewa mda gani. Km mchezaji anapewa red card wakati tayari mnamatokeo mkononi ni rahisi kulinda ushindi. Au km card imetolewa dk za 80 ni rahisi vile vile kujilinda kwa hizo dk chake.
Ugumu ni pale mnapotakiwa kucheza dk 45 na zaidi na timu bora huku mkiwa pungufu. Maji mtaita mmaaa! Mtabana weee mwishoni mtaachia pumzi ikikata. Thats what happened yesterday.
Mwisho, hongera kwa ushindi mtani japo sikuona biriani zaidi ya butua butua tu!