Hio mechi ya Lehman kupewa red Ilikua 2006Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa .
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Stasahau hii mechi nilikua mbele kbs na jezi yangu ya LiverpoolLiverpool vs dotmund April 4 2016
Lile goal la Ramos lilinikausha sauti pale kibanda umizaReal Madrid vs Atletico Madrid may 2014
Messi?mkuu we acha tu , hakuna siku iliyoniuma na kuisahau kama siku ya final 2014, dakika za lala salama tukakalishwa chini, matokeo yakawa Argentina 0-1 mabingwa...kwakweli sina hamu.ukizingatia defence yetu ilikua imara sana kana kwamba walishindwa kupenya kiurahisi,huku otamendi,marcos rojo,garay,.dah basi tu. GORTZE alituhuzunisha waargentina that day......
Na wenzake wakina Aguero,Di Maria Higuain na hiyo defence imara uliyoitajaKwahiyo Messi anacheza peke yake?
Hio no 2 mpaka Leo imebaki kwenye vichwa vya watu wengi kwa hakika sutoisahau kabisa
haa haa mkuu nikisikiaga jina hili (Instabul) huwa kumbukumbu zinareflect na siku husika. Much respect kwa kikosi kile under Steven Gerald
hatari sana man
Mechi ya AC na Liverpool nikiwa nashabikia AC nikaenda kulala after first half, kwamba kazi imeisha, na kuanza kejeli (as if nina maslahi kama Berlusconi) Nilipoamka asubuhi kupata matokeo, mijicho ilinitoka kwa kutoamini.