Mechi 3 bora za wakati wote!

1. Man Utd 4-3 Man City (mwaka 2009.)
_46410778_owen_new_credit.jpg

Wakati Craig Bellamy akiisawazishia Man City dakika ya 90 na kufanya ubao usomeke 3-3 wengi waliamini mechi hiyo ingeisha kwa sare, zikaongezwa dakika 4, City wakarudi nyuma kupaki basi.
Ghafla Michael Owen akaibuka shujaa baada ya kufunga goli la ushindi dk ya 96 nje ya zile 4 za nyongeza. Kocha wa Man City alilalamika sana baada ya Refa kushindwa kumaliza mpira kwa muda sahihi.

2. Liverpool 3-3 Ac Milan (Fainali ya Uefa 2005)
0505250137b.jpg

Fainali hii iliyofanyika Instanbul, Liverpool walikuwa nyuma kwa magoli 3-0 wakati wa mapumziko, kipindi cha pili kinaanza kwa kocha Benitez kumuingiza Dietmar Hamann ambaye alienda kumzuia Pirlo asicheze na kuwafanya Liverpool warudi mchezoni, dk 90 mechi inaisha 3-3 na Liverpool wanaenda kubeba ndoo kwa penati baada ya extra time.
final.jpg

ucl+2005+LFC+vs+Milan.jpg

3. Derpotivo La Coruna 4-0 Ac Milan ( Robo Fainali ya Uefa, April 7, 2004)
270271.jpg

Mabingwa watetezi wa Ulaya, AC Milan wakiwa na advantage ya ushindi wa 4-1 walioupata nyumbani San Siro, walienda kuwafata Derpotivo wakiwa vifua mbele lakini wakakutana na dhahama nzito ya kipigo cha 4-0 toka kwa Derpotivo. Walter pandiani kaibuka staa wa mchezo kwa kutakata na kuwapoteza mastaa wa Milan kama Kaka, Pirlo, Inzaghi na Shevchenko.
Ac Milan wakatolewa kwa jumla ya Magoli 5-4.

Karibu mdau ututajie na wewe mechi zako 3 unazozikubali.
Update uzi wako
 
Hiyo mechi ya Liverpool vs Ac Milan ndo ilinisilimisha kuwa kop a.k.a mwana Liverpool da nilikua drs la NNE stasahau... Japo remix yake ni ile tuliyomlamba Barcelona mwaka juzi na ile kona ya Trent anorld ndo goli bora sana tangu nianze kuishabikia Liverpool.....
#YNWA
 
Back
Top Bottom