Mechanical engineering vs biomedical engineering

Mechanical engineering vs biomedical engineering

Kijana nikusaidie Tu. Ukitaka kufanikiwa katika profession take the road less traveled.
Hizo course mbili zote ni nzuri na soko la ajira siyo baya sana uzuri zote hizo unaweza uakjiajiri mwenyewe.
Kwa ushauri wangu mimi take the road less traveled ambayo kwa hapo ni Biomedical engineering hiyo nyingine inasomwa na watu wengi mno kiasi cha kuwa competitive kwenye soko la ajira.
Mkuu hao watu wengi mno niwawapi?.
 
Kama unahitaji kusoma engineering soma hizi hapa chini.

Mechanical,Civil,Electrical.
Asante Mkuu, nadhani umemaliza. Zaidi ya hapa ni mtu kubisha kwa kutokuwa na ufahamu juu ya haya mambo, kwa sasa hizi course zinalipa.
 
Karibu mechanical mkuu......ila siku zingine uache kulinganisha mechanical na vitu vya kipumbavu...😀😀😀😀
 
kijana utakuja kujuta na kujikuta mtumwa katika kazi unayofanya kama hautasoma kitu unachokipenda!
 
Crispin Sam mm nakutakia masomo mema pale dit usubr na wenzako
Katende jr
 
Mimi mwenyewe akili ndogo sijawahi kuona mtu kasoma Mechanical then analia njaa.Watu wanaiogopa mech kutokana na ugumu wake,ndio mana inasoma watu wachache.

Nashangaa unaposema mechanical nikushusha engine yenye oil nikikuuliza unitajie watu wanne unaowafahamu wamesoma mechanical engineering then wanashusha engine hutomtaja hata mmoja.

Watu waache kukariri kozi yoyote ina ajira hata km ni mechanical or whatever muhimu ifanye at your best lolote linawezekana tofauti udaktari tu mi nimeona mtu wa mechanical kaajiriwa kufanya kazi ya audit ktk kampuni moja ya uingerza tena hata hajamaliza chuo akiwa mwaka wa mwisho shangaa kafanya interview na wahasibu kawamwaga wengine hapo muhim ilikuwa ni ufaulu wake na upeo wa uelewa wake inamaana mwajiri aliona mtu huyu anauwezo na kazi atafundishwa na kuelewa
 
wewe unaujua ukweliiii

mimi sitaki kuongea sana
lkn mechanical engineering unaweza kufanya kazi kwenye fields nyingi zaidi ya engineering yyte




i proud 2b a Mechanical engineer
Lewanga Jr
Kwa uhandishi huu nna mashaka na u mechanical engineer wako
 
Npe ushaur wako kaka ?!
Unapotaka kusoma biomedical engineering je:
-Unataka ukafanye kazi wapi?

-Je utajiendelezaje incase unataka kujiendeleza? je degree yake ipo tanzania? NA KAMA HAIPO UTAKUA NA UWEZO WA KUJIENDELEZA NJE au utaenda kusoma kozi ingine kwenye level ya degree??

NIJIBU HAYO MASWALI KWA UFASAHA ALAFU TUENDELEE.

NB: Jitahidi kuandika kwa ufasaha, hayo mambo ya x badala ya s na kuandika kifupi fupi acha!
 
Unapotaka kusoma biomedical engineering je:
-Unataka ukafanye kazi wapi?

-Je utajiendelezaje incase unataka kujiendeleza? je degree yake ipo tanzania? NA KAMA HAIPO UTAKUA NA UWEZO WA KUJIENDELEZA NJE au utaenda kusoma kozi ingine kwenye level ya degree??

NIJIBU HAYO MASWALI KWA UFASAHA ALAFU TUENDELEE.

NB: Jitahidi kuandika kwa ufasaha, hayo mambo ya x badala ya s na kuandika kifupi fupi acha!
As long as zote mbili nazipendah now what matter ni kwenye upande wa soko la ajira ....

Nikimalza dploma naeza pata wapi ajira mapema ndugu ????
Hata kam nikishindw kupata uwezo kwa degree k pesa or otherwise .....
 
Back
Top Bottom