Mechanical ni kozi mama ktk engineering hio civil na umeme hio Biomedical ni sub field ndani ya umeme, Mkuu uliomba ushauri hebu tazama kipi unapenda kwa ushauri wangu tu soma Mechanical mana hio biomedical hata degree hazijaanza kutolewa hapa tz pili ni course mpya ambayo haina jina sana ktk uwanja wa ajili japo ni nzuri pia Diploma ipo Arusha Tech na DIT tu ambapo arusha ni combination ya electrical and biomedical engineering while Dar institute of technology ni Biodemical equipment engineering kama level ya diploma nenda Arusha Atc