Mechanical Engineer natafuta kazi

Mjuzi Wenu

Senior Member
Nov 18, 2017
108
100
Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo

nimebobe katika kudesign kwa kutumia software mbali mbali kama Solidwork, Autocad na Automation studio kwa mifumo ya hydroulic au pneumatic.

Pia nina ujuzi mkubwa katika kutatua matatizo ya mashine mbali mbali hususani Diesel engine.

Pia ninauwezo mkubwa katika kufanya maintenance mifumo ya gari na vyombo mbali mbali vya usafilishaji kama trector.

Naomba kazi, nipo tayali kufanya kazi mko wowote kwa sasa nipo Dar es Salaam.

Mawasiliano 0692235221

Ahsante
 
Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo

nimebobe katika kudesign kwa kutumia software mbali mbali kama Solidwork, Autocad na Automation studio kwa mifumo ya hydroulic au pneumatic

Pia nina ujuzi mkubwa katika kutatua matatizo ya mashine mbali mbali hususani Diesel engine

Pia ninauwezo mkubwa katika kufanya maintenance mifumo ya gari na vyombo mbali mbali vya usafilishaji kama trector

Naomba kazi, nipo tayali kufanya kazi mko wowote kwa sasa nipo Dar es salaam

Ahsante

Fanya mobile mechanical engineering, tafuta simu yenye camera nzuri tengeneza pages Facebook, Instagram etc kisha post kazi zako taratibu huku unafanya kazi za watu wako wa karibu jina litakuwa utafungua ofisi yako na utaajiri watu

Angalizo "USIWE NA PAPARA, VITU VIZURI VINAHITAJI MUDA"
 
Shukrani sana mkuu kwa ushauli mzuri
 
Back
Top Bottom