Ndo mji pekee ibada wanawake na wanaume usali pamojaNi mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Awaja tenga sehem ya kusalia kwa wanawake kama huku kwetuFafanua
Point of correction thanks BT ubora wa mji wa mecca uko pale pale...kibla kipo pale.
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.Hakuna mji katika historia ya binadamu umewahi kupewa heshima kuzidi mji wa Makkah hakuna.
SwadaktaNadhani Mtume alizikwa Madina na sio Mecca.
Kabla hujajibiwa Mbinguni ndio nn? Au unazungumzia pepo?Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.
Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Ukiona imani pale ilipoanzia hakuna mwenyeji anayeifuata jua kuna walakini.. Chukua hatua...Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.
Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Usijifanye hujaelewa wakati umeelewa...Kabla hujajibiwa Mbinguni ndio nn? Au unazungumzia pepo?