Means justify the end

Means justify the end

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,491
Kwa huu uhuni wa uchaguzi, raisi Samia na genge lake walivyoupora kwa madaraka yake ya kikatiba. Unajiuliza were the killings necessary.

Kwa mara ya kwanza turnout ya wapiga kura ni ndogo kwa ushahidi wa jamii kuliko kipindi chochote.

Ushindi wa kupika ni mkubwa kushinda kupita kipindi chochote.

Watanzania kwa mara ya kwanza wamejaribu kuzuia dhulumati ya uchaguzi.

Swali la msingi kwa Samia na wahuni wenzake kama wana nguvu hizo ndani ya NEC ya kuiba uchaguzi.

Kwanini kwa miaka minne wamekuwa wakiteka na kuuwa vijana wakitanzania.

Ni kama vile ni genge la watu wanaopenda kuteka na kuuwa watu tu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=kWE6M-rhh2U

That’s like Emmy ☝️asking the question on the logic of the movie outcome given the leading statement.

In other words kama una nguvu ya kuiba uchaguzi given the worst case scenario; kwanini kwenye kipindi hiko mmeteka na kuuwa watu.

Doesn’t make sense
 
The correct version is
The end justify the means
not the means justify the end
P
Realistic there isnt a robust civil services and national security in Tanzania.

Ngumu kuelezea hii outcome binafsi niliiona toka June 2021.

Nina kawaida ya kusimamia misimamo yangu.

Back then nilisema come 2025 watanzania hawata taka kumsikia huyo mama na kwamba hafiki 2030.

Bado nasimamia hapo.
 
The correct version is
The end justify the means
not the means justify the end
P
Ndio tatizo letu wabongo wengi kama wewe, usikariri....
"Means justify the end" means that a desired goal is so important that any method, I repeat, 'Any Method', even a morally questionable one, is acceptable to achieve the end .

Hapa ndio mleta mada aliposhika mpini, huku wewe uking'ang'ania kushika makali yakikunyofoa vidole vyako kwa kukariri English lessons za mwalimu Kazimoto huko ilboru.....
 
Edited 🙏🙏🙏
 
Realistic there isnt a robust civil services and national security in Tanzania.

Ngumu kuelezea hii outcome binafsi niliiona toka June 2021.

Nina kawaida ya kusimamia misimamo yangu.

Back then nilisema come 2025 watanzania hawata taka kumsikia huyo mama na kwamba hafiki 2030.

Bado nasimamia hapo.
Ignore this stooge called Pascal, he was cloned! Look at Ballile and all others!
 
Ndio tatizo letu wabongo wengi kama wewe, usikariri....
"Means justify the end" means that a desired goal is so important that any method, I repeat, 'Any Method', even a morally questionable one, is acceptable to achieve the end .

Hapa ndio mleta mada aliposhika mpini, huku wewe uking'ang'ania kushika makali yakikunyofoa vidole vyako kwa kukariri English lessons za mwalimu Kazimoto huko ilboru.....
Achana naye uyu jamaa, ni hypocrite
 
Back
Top Bottom