meal allowances | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

meal allowances

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Salanga, Jul 26, 2011.

 1. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba mwenye information juu ya ongezeko ya pesa za bodi.napenda kufahamu iwapo ongezeko hili ni kwa ajili ya wanafunzi wa ndani ya nchi pekee au linaafect hata wale walio nje ya nchi maana tunasikia ndugu zetu huko Russia wana tatizo na ni vyema wangekumbukwa. Hivi kama hawajaongezewa waendeleze fight
   
Loading...