Pyaar salamaleko π π π kwa Sasa VANCOUVERJana nilikuwa mitaa hiyo nimekunywa supu safi sana ya utumbo, ghafla bin vuu nikapata dharura natakiwa kupeleka supu ya mapupu Netherlands, π
View attachment 3467686
π³π³Nipo USA na Msigwa tunakunywa Gahawa.
Salamaleko π waifu materialLondon
Waleku mslam KhaifaSalamaleko π waifu material
Khaifa...warahmatullah wabarakaatuh...Waleku mslam Khaifa
Hapo umeniacha njia pandaπ₯²Khaifa...warahmatullah wabarakaatuh...
Haaahaa π π sirudii tenaHapo umeniacha njia pandaπ₯²
Niambie nijibuje sasaπ π₯²Haaahaa π π sirudii tena
Sisi ipo vizuri itakuwa ww upo Tanzaniajamii forum kwangu unasumbua sana, nyie kwenu ikoje?
we utakuwa ni mchagaNiko zangu Australia, naperuzi JF km nanawa vilee.
Woiiiiih