MmhNimekutana na huyu kiumbe nje ya Nyumba yangu jioni, hii namfananisha na Nungu Nungu japo Sina hakika.
Mwenye ufahamu na haya maswala ya wanyama na wadudu au Kama ni ishara yeyote anijuze.
Eneo naloishi si rahisi kwa kiumbe wa namna hii kuonekana, Naishi Dar Es Salaam Tabata na hakuna mapori
Ntanguliza Shukrani .View attachment 2413880
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Huyu nikibahatika kumuona jioni kesho yake lazima nipige mpunga.Nimekutana na huyu kiumbe nje ya Nyumba yangu jioni, hii namfananisha na Nungu Nungu japo Sina hakika.
Mwenye ufahamu na haya maswala ya wanyama na wadudu au Kama ni ishara yeyote anijuze.
Eneo naloishi si rahisi kwa kiumbe wa namna hii kuonekana, Naishi Dar Es Salaam Tabata na hakuna mapori
Ntanguliza Shukrani .View attachment 2413880
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Haya Dokta si ushamuona sasa.Huyu nikibahatika kumuona jioni kesho yake lazima nipige mpunga.
Huyu nikibahatika kumuona jioni kesho yake lazima nipige mpunga.
Mpaka mubashara mkuuHaya Dokta si ushamuona sasa.
Kesho yaja pokea vibunda.
Au ulikuwa wasemea mUbashara[emoji38]