Mdudu anayepekecha jino anatolewaje?

Yes,mbili mara tatu siku saba,
Ina maana kila baada ya masaa 8 unakula viwili kwa wiki,maumivu yanapotea ndani ya siku tatu usiishia njiani dozi
Duuh namwonea huruma huyu atakaetafuna hizi
 
Reactions: rr4
Mkuu, meno yanaoza au kutoboka kwasababu ya bacteria wanaochachusha sukari ili kutengeneza acidi inayoeweza kutoboa meno.
Hii acidi inatoboa meno kidogo kidogo na kwa muda mrefu, na utaanza kuhisi maumivu pale ambapo mishipa ya fahamu ya jino ikiwa imefikiwa.

Sasa hapo utaona uchawi ni sukari na hakuna mdudu anaepekecha jino. Matibabu yake ni kama hapa chini

1#kama jino linauma pale tu unapo weka vitu vya moto, sukari au baridi.... Na maumivu yanaacha baada ya dakika 1... Utazibwa jino kwa njia ya kawaida

2#kama jino linauma bila kula.....na linasumbua usiku Matibabu yatajuwa ni Matibabu ya mzizi wa jino (root canal treatment) au kung'oa kabisa kuendana na hali ya jino lako

3#linaweza kukusababishia uvimbe na majipu kwenye maeneo ya uso, shingo na kifua.... Hapo utatumbuliwa jipu... Hospitalini

Kwa sasa unaweza kutumia hizi dawa
Gofen+ampiclox na metronidazole
Kabla hujamwona dentist
 
Reactions: rr4
Wakuu habari za mida hii?

Naomba kujua mdudu wa jino anatolewaje maana me mimi naona ndio ameanza.

Ninapata maumivu sana.
fika pharmacy nunua metronidazole ya meno au fragyl wanaaita inakua kwenye tube kwa ajili ya meno uwe unapakaa kiasi kwenye tobo la jino lilitoboka mala mbili kwa siku kiasi tu.

Pia nunua dawa inaitwa acetominophen iko specially kwa ajili ya meno moja ya brand yake inaitwa dentamol pia unakunywa mala 3 kwa siku ni capsule zle dawa au vidonge.

Ukiweza pia nunua na dawa ya meno moja either vigor doctor au sensodyne sensitivity uwe unatumia kusukutua asubuhi na jion ukiweza hata mala 3 pia sukutua.

Niamin mimi maumivu yataacha na kama ni vtu vya sukar au vya barid utaendelea kutumia bila shida
 
Asante
 
πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Nenda duka la dawa sio vichochoroni nunua dawa ya meno inaitwa Bright ni ghali kidogo elf 17-20 utaua wadudu wote kwenye kinywa na meno then maisha yataendelea kama kawa na mahindi ya kuchoma utatafuna kama kawa kesho yake tu
 
Wakuu habari za mida hii?

Naomba kujua mdudu wa jino anatolewaje maana me mimi naona ndio ameanza.

Ninapata maumivu sana.
Weka limao au ndimu au sukutua maji ya uvugu vugu yalio changanywa na chumvi
 
Reactions: rr4

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…