Mdude Nyagali akutana na Martha Karua

Mdude Nyagali akutana na Martha Karua

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,676
Reaction score
272,517
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.

Taarifa kamili hii hapa

Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.

Screenshot_2025-03-22-18-49-46-1.png
Screenshot_2025-03-22-18-49-51-1.png
 
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.

Taarifa kamili hii hapa

Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.

Mapambano yanaendelea
 
achilia mbali kiingereza cha uyole,
kukosea jina la mtu unaepiga picha nae namna hiyo, inamaanisha kabisa humjui vyema licha ya kujaribu kumsifia kwa uongo na upotoshaji, nadhani hata yeye anaona aibu ikiwa kaiona hiyo post, na anajuata kukutana na jamaa wa hovyo kama hyu,

the iron lady of kenya matha karua ni miongoni mwa viongozi wakuu wa vyama vya siasa nchini kenya, ambae mara zote hushindwa vibaya sana katika chaguzi zote hususani kwenye eneo lake zima la county anamoishi.

ana historia ya kipekee sana katika siasa za kenya.
ni hodari sana wa kubwekabweka kwenye majukwaa ya kisiasa katika coalitions za vyama, but akiwa pekeyake kwenye county yake, hua hafurukuti kabisa, ananyoroshwa vizuri sana na wadada wadogo tu katiaka siasa za kenya. :NoGodNo:
 
Wewe endelea kuvishwa fulana za Mama Ongea na mwanao au Samia queens
Hahahaaaa

Mimi Sina Fulana wala mama….

Mmepoteza direction kabisa

Nawaza chadema ya akina halima na slaa, hadi chakadomoz ya Sativa na sasa CHAKANDUMUZ ya mdude

Regression
 
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.

Taarifa kamili hii hapa

Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.

Kwani huyo mdude ni nani huko chadema...kimekuwa kama jalala nzi wanaruka ruka tu...nasikia wamekwenda kumfariji mkimbizi asiyetafutwa wala kuwa na matatizo nchini kwake mariah sarungi!
 
Unateseka ukiwa kibaigwa eneo gani?
 
Hahahaaaa

Mimi Sina Fulana wala mama….

Mmepoteza direction kabisa

Nawaza chadema ya akina halima na slaa, hadi chakadomoz ya Sativa na sasa CHAKANDUMUZ ya mdude

Regression
Mtashangaa sana Wajinga nyie!
 
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.

Taarifa kamili hii hapa

Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.

Can any one share his Book here.
 
Back
Top Bottom