Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Tuko bize na covid20 (chadema) msitusumbue watalamu wetu wako kazini hili gonjwa halitibik wanachama chukueni tahadhari.
 
kwa chadema walivyo,watamuacha apambane na hali yake
 
Usifanye harakati kama huna element za ujasus..!
Sent using Jamii Forums mobile app
 

/one good thing about music/
/when you dance you feel no pain/
 

For whatever reason,mkosoaji ni mkosoaji!

Ana haki zake sawia

Siwezi kua hapa nashabikia pure uonevu kutoka kwa oppressing govt kwa innocent victims

Instead the same govt inatakiwa ilinde haki za wakosoaji hao hao

Sad ni kinyume!

Hii stupid move ya uonevu by this oppressing govt imeichafua na chuki level imeongezeka against it,next level!

Sijui akili mnaweka wapi?

Kazi zenu za kuendesha hii nchi ni kubwa maajabu mnapata muda wa kuonea powerless critics who are doing their job
 
Mtego wa wanawake ni wanaharakati wachache saana waliweza kuuepuka, nashindwa kumlaumu katika hili.

Haya mambo aliyaweza fidel castro.

Jamaa mapema saana angeikimbia hii nchi, wenzie kinas chahali na ngurumo wakula kuku ughaibuni.
 
Kuna kitabu nimesoma,
Kinaitwa Blowing up Russia, kiliandikwa na jasusi wa zamani wa KGB/FSB,(alexander Livinenko)huyu aliuliwa na sumu.
Mbinu anazotumia Putin raisi wa Russia,kuwamaliza wapinzani wake,zinafanana kabisa na hizi harakati za Wasiojurikana wa hapa bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigo
Kigogo atawaponza vijana wajingawajinga wengi Kwa uwongouwongo wake wa kujipatia umaarufu!

Alishindwa vipi kumtahadharisha mdude mapemaa kabla ya kupatwa na lolote?

Vijana endeleeni na Ujinga, Wakati nikiwa Kwa wazazi wangu mara Kwa mara walikuwa wakiniusia kuwa, mwanangu, kuwa makini ktk maisha Maana ikiwa hutafuata malezi Yetu kama wazazi wako,Dunia itakufunza Kwa lazima!

Ndio hivyo, usipofunzwa na mama yako, Dunia itakufunza, Wakati mwingine, usipelekwepelekwe Kwa mkumbo na watu Kwa kutaka umaarufu, unakufa na hakuna wa kukutetea, Vinginevyo twendeleeni kutukanana hapa Mitandaoni, mdude ndo hivyo tena
 
Kwangu mdude ni jemedali wa kweli aliyebaki katika vita baada ya waoga wengi kukimbia, ni ujasiri wa hali ya juu aliokuwa nao huyu jamaa na anastahili tuzo ya Nobel, popote niendeka utabaki kuwa moyoni mwangu daima like Mawazo, Ben, Lissu.Revolution n long process inayohitaji watu waliojitoa kweli kweli kupigania kile wanachokiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…