Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,022
KAMANDA 'MDUDE' SIO SIRI UMEJITAKIA MWENYEWE

Hivi hukumuona mwezako Roma Mkatoliki, alivyokimbilia nchini Marekani baada ya kunusurika kuuawa alipotekwa na watu wasiojulikana?

Hivi hukuwaona wenzako akina Maria Sarungi, Ansbert Ngurumo, Evarist Chahali, Mange Kimambi na Kigogo 2014 wanavyoikosoa Serikali huku wakiwa nje ya Tanzania?

Hivi Mdude hakujifunza kwa Ben Saanane au hakujifunza pale alipotekwa kwa mara ya kwanza?

Hivi ulipata ujasiri gani kuanza kuikosoa Serikali ya CCM kila kukicha mtandaoni huku ukiwa unaishi hapahapa nchini? Kwani akina Kigogo, Ngurumo, Chahali na Mange Kimambi uliona ni wajinga walipoamua kukimbilia ughaibuni?

Ndio maana nasema kuwa, Mdude Nyagali Chadema umeyataka mwenyewe, ila shukuru tu kwamba utaendelea kuwa hai gerezani hata kwa muda wa miaka 10, kuliko kama ungetekwa tena na watu wasiojulikana.

Bai bai 'SUMU YA NYIGU'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uoe haraka sana ili just in case something happen basi uwe umeacha japo katoto.

Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uachane kabisa na mademu wa mitandaoni au kufanya appointment na watu usiowajua, au uwafanyie thorough assessment kwanza kabla hujakutana nao.

Huyu jamaa kama kweli kashikwa kizembe hivyo atakiwa amewaangusha makamanda wenzie. Utakuwaje mwanaharakati mwenye njaa na papuchi?
Unforgetable

Nadhani hakuwa anajua anachokifanya,hakujua maana ya mwanaharakati na misingi yake.......
 
Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uoe haraka sana ili just in case something happen basi uwe umeacha japo katoto.

Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uachane kabisa na mademu wa mitandaoni au kufanya appointment na watu usiowajua, au uwafanyie thorough assessment kwanza kabla hujakutana nao.

Huyu jamaa kama kweli kashikwa kizembe hivyo atakiwa amewaangusha makamanda wenzie. Utakuwaje mwanaharakati mwenye njaa na papuchi?
Unforgetable

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mbabe wa twitter.

Hivi unawezaje kushitukia mchezo kama binti anatokea jimboni kwa mbunge wa CHADEMA, jimbo linalo dhaniwa hicho chama kina nguvu sana kuliko mahali popote duniani?

Mrembo anaigiza CHADEMA in blood, na anajitambulisha ni wa makabila yale ambayo CHADEMA iko damuni, huku akirusha mapicha au twitt kibao za kichadema?

Anakusifia kwa ujasiri wako wa ajabu kuongea lolote dhidi ya dola na mwenye kushika dola.

Anakupa pole na kukuonesha nia ya kukupunguzia machungu ya kutenguliwa nyonga ama 'center bolt' kama alivyo wahi kuita Mdude mwenyewe. Kisha anakurushia muamala 1M na kitu tarehe hizi ngumu kiuchumi.

Ukimcheki mtoto mwenyewe pengine kwa mtazamo wako (sio wangu) mzuri balaa anakuahidi kuja kukutunuku tufaa(apple) lililomponza adamu.

Tuwe wakweli jamani hivi nani kati yetu angechomoka huo mtego hasa sisi wenye kipato cha kawaida kama mdude?
Tuache kumdhihaki mdude, tuache unafiki tuwe wakweli na tuseme kamanda imemkuta ajali kazini kama nzi kufia kwenye kidonda.

Zingatia elimu na umri wa Mdude kabla huja mhukumu au kumdharau kunasa kijinga hata kwa yale aliyokuwa anatuma mitandaoni bila tahadhari au kufanya yale yaliyo pelekea kuingia mikononi mwa vyombo vya sheria.
 
Kwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mababe wa twitter.

Hivi unawezaje kushitukia mchezo kama binti anatokea jimboni kwa mbunge wa CHADEMA, jimbo linalo dhaniwa hicho chama kina nguvu sana kuliko mahali popote duniani?

Mrembo anaigiza CHADEMA in blood, na anajitambulisha ni wa makabila yale ambayo CHADEMA iko damuni, huku akirusha mapicha au twitt kibao za kichadema?

Anakusifia kwa ujasriri wako wa ajabu kuongea lolote dhidi ya dola na mwenye kushika dola.

Anakupa pole na kukuonesha nia ya kukupunguzia machungu ya kutenguliwa nyonga ama 'center bolt' kama alivyo wahi kuiita mdudde mwenyewe. Kisha anakurushia muamla 1M na kitu tarehe hizi ngumu kiuchumi.

Ukimcheki mtoto mwenyewe pengine kwa mtazamo wako (sio wangu) mzuri balaa anakuahidi kuja kukutunuku tufaa(apple) lililomponza adamu.

Tuwe wakweli jamani hivi nani kati yetu angechomoka huo mtego hasa sisi wenye kipato cha kawaida kama mdude?
Tuache kumdhihaki mdude, tuache unafiki tuwe wakweli na tuseme kamanda imemkuta ajali kazini kama nzi kufia kwenye kidonda.

Zingatia elimu na umri wa Mdude kabla huja mhukumu au kumdharau kunasa kijinga hata kwa yale aliyokuwa anatuma mitandaoni bila tahadhari au kufanya yale yaliyo pelekea kuingia mikononi mwa vyombo vya sheria.

Naweza kufahamu elimu ya Mdude?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naweza kufahamu elimu ya Mdude?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Elimu ya msingi na kujifunza ufundi vyuo vya mtaani DRC au zambia sikumbuki vizuri kati ya nchi hizo mbili wapi alienda kujifunza ufundi.
 
Back
Top Bottom