Mdude azungukwa na Wasiojulikana Hospitalini

Jamani hivi hili sio kosa kuweka picha ya mtu na kumnasibisha na makosa? Vijana tumieni basi akili japo maana haya ni makosa ila hamtaki kuambiwa mnakosa
 
Mods msiwe mnalala usingizi!

Yani hii picha kweli tunaweza kusema ndio watu wasiojulikana
 
Huu ni uhaba wa mambo ya kujadili, wewe umejuaje kuwa huyo ni wale wasiojulikana?? Chadema mmegeuka mabingwa wa siasa nyepesi.

Kwa hiyo hamtaki hata watu waende kuwajulia hali wapendwa wao ambao wamelazwa hapo??
Alafu mods wamekaa tu, yani mtu analeta picha anaweka hapa huku akijisema hao ndio watu wasiojulikana
 
Huyu jamaa mbona mnamzushia tuko nae kitaa kimoja hapa siyo askar wala wasio julikana na mke wake ni mgonjwa amelazwa katika hiyo hospital ya rufaa tusifikie huko makamanda kuanza kawazushia na watu wengine wasije huku mtaani wakapigwa bure
 
Watu wasiojulikana Mkoani Mbeya tangu Jana wanazingira eneo ambalo Mdude Nyagali - CHADEMA amelazwa. Huyu ni mmoja wa hao watu ambao nia yao haijulikani.

Makamanda mnashauriwa kuwa makini na watu wanao kuja eneo ambalo Mdude amelazwa.

Picha ni mmoja ya walio mzingira Mdude Hospitalini.
View attachment 1093349View attachment 1093350
Halafu wanapenda kuvaa JEANS kama kamanda wao anavyopenda
 
Huu ni uhaba wa mambo ya kujadili, wewe umejuaje kuwa huyo ni wale wasiojulikana?? Chadema mmegeuka mabingwa wa siasa nyepesi.

Kwa hiyo hamtaki hata watu waende kuwajulia hali wapendwa wao ambao wamelazwa hapo??
Tatizo Magufuli zero mshauri wake bashite zero dah hawana akili kabisa
 
Back
Top Bottom