Mdosi kaniganda

tena atueleze na mwisho wake.... sio mwanzo tu
Ilikua kama huyo dada full kuniangalia ovyo ofa za kumwaga akaenda kwao india full zawad nikasema mhhh haya mazito ngoja nione mwisho wake hakuwah kunitamkia i love u wala nin alichoniambia tuwe friends tu nikikwama mahali nisiste kumwambia had leo tunawasiliana tunaonana tunaongea ila mapenz no namwanzo nilifkir hayo hayo ya mapenzi
CC Mamaafacebok, njoo ujibu hapa

Ahhhhhha namjibu
 
Last edited by a moderator:
Wanawake bwana kwa kujiapiza miungu kuonyesha wana msimamo kumbe hamna lolote..pumba tupu. Yaani kwa kuapa kwako hivi unaelekea kukubali kupelekwa kibla muda sio mrefu..believe me #madamX


I don't believe you... and I don't need to.
 

c umeona sasa!! sasa ungejifanya kuringa au kutanua miguu hapo, ungeula wachuya shoga......
 
Fanya kazi MadameX. Nasema tena, fanya kazi. Unavyowaza sivyo kabisa....! Unless nawe uaanza ku fall kwake
 
Last edited by a moderator:
Attention seeker. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Jiulize why you kuna sign au udhaifu aliouona. Ama inaweza pia ikawa wishfull thinking kwa upande wako.
Kwanini iwe wishful....na attention gani hiyo ninayoitafuta. Grow up kid!
 

Hii meseji yako ni wazi kua nawe umezimika kwake, tii kiu yako mama, wacha kujitesa wakati nawe wamkubali pia.
 


Wasi wasi wako tu, unajishuku bure.
Mbona sioni kama amekuganda!
Unamaanisha nini unaposema: ''Mdosi kaniganda''?

mkuu hata mimi nimeshtuka sasa. mdosi kashakula mzigo nini...
 
Anakulia tu timing na ukijichanganya tu umekwisha....be careful
 
Fursa hazina dini, kabila wala rangi. M treat kama binadamu mwingine yeyote!
 
Umesha weka uwezo wa dhamira zake ndogo ndogo kufanyika (kukutoa lunch,kuchukua gar etc) sasa ipo siku naamin atakufunua tu!!!!!!.... Hata kama sio plan yako ila thru that road kuna siku atakutafuna tu...kwan we nani ishindikane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…