Mdosi kaniganda

Ooooooooheyaa so sweet, wana care kwakweli,ila usiogope hana nia mbaya wee usihisi ivyo maana waweza kuta hana mawazo kama unavyo hisi wewe, kua na mipaka basi
 
Ooooooooheyaa so sweet, wana care kwakweli,ila usiogope hana nia mbaya wee usihisi ivyo maana waweza kuta hana mawazo kama unavyo hisi wewe, kua na mipaka basi

So sweet your so innocent hahhahhha hapana chezeiiya dosi
 
Hakuna kitu hapo, yawezekana ndivyo alivyo sasa utafanyaje? yawezekana huko unakohisi hayupo!
 
Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa. Yote maisha kwa mtanzania. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Bahati haiji mara mbili. Ni kweli there is no free lunch na kwa hiyo ni samba sana ukitafuna tuuuuu nawe ukabania cha kwako kisitafunwe. Kama unamaindi sana cha kwako bora uchunie tangu mwanzo maana kama vipi siku ya siku kutafunwa kupo tu utake usitake. Utakulaje usiliwe? Kula na kuliwa ndo mchezo wa bao ulivyo. Mwenye macho haambiwi tazama. Mlipofikia wala hahitaji kuomba bali anangojea muda muafaka ajivinjari kwa saizi yake hamna noma wala nini.
 

Jamani, mimi nina wanguuu....ndo maana najua how things can get complicated. Sina uzoefu sana na hawa watu ndo maana nataka nijue, maana nimeanza kupunguza kasi za kuambatana nae isijekuwa hiyo ndo inazidi kufanya issue complicated.

Ukumbukwe nikianza kumkata hata mabonus yangu yataanza kupungua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…