Mdosi kaniganda

Mdosi eee ndio unaona rahaaa kusimulia humu, ngoja akukojoze kisha aanze kukuchambua ndio utaona raha zaidi. Lazima atakuvalisha sweta lake kwanza kukuondoa baridi.
 
yani umeona dhahabu njiani afu wajiuliza uokote au uiache, mwenyew aliyedondosha anaweza akakuona!!! huhuhuhuuu upele haumpati mwenye kucha..... usikute kapenda tu company yako
Dhahabu mume wa mtu....
 
We sema unataka kuwalingishia vicheche wenzio kuo upo karibu kuopoa mdosi, na kutiaminisha unataka u mchune tu na kumtosa, kwan akikupanda utakuja kutuhadithia hapa?
Endelea kufikiri hivyo hivyo....kama wewe unaona mdosi ndo big deal. Maana hata kufahamu mada hujafamu. Hapa kuna kazi na urafiki.
 
Ndo hapoo
MadameX hichi ulichoongea leo mim kimewah nitokea japo sehem ndogo sana tunatofautiana mwanzo nilidhan anataka alete mapenz ila wala haiku hivo tatizo hawaeleweki unawaza hiv kumbe yukombali hana hata habar
 
Last edited by a moderator:

Sijui maana kama deal zake zikipita....we all get credit. Kwahiyo sidhani kama ananitumilia
 

Acha mpaka akutamkie bayana. Akikaa kujing'ata ng'ata bila kusema anataka nini endelea kama ilivyo sasa bila kujali. Si ajabu hayuko huko unakokufiria pamoja na kuwa dalili zinaonyesha kuwa ana drive towards that direction
 

Wasi wasi wako tu, unajishuku bure.
Mbona sioni kama amekuganda!
Unamaanisha nini unaposema: ''Mdosi kaniganda''?
 
Mpe tuu MadameX mungu kakupa ukitumie,bora huyo kaanza kukujali,wabongo mpaka ale mzigo ndiyo aanze kutoa huduma ndogondogo
 
Last edited by a moderator:
Attention seeker. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Jiulize why you kuna sign au udhaifu aliouona. Ama inaweza pia ikawa wishfull thinking kwa upande wako.
 
Dhahabu mume wa mtu....
nop, i didnt mean that way, u know galz tukipata mwanaume ana care, show u some love unajua anakutaka..... I mean ni ngumu kupata frnd wa hvyo esp coworker akawa ana ku-treat like that!! si mbaya kufikiri in negative way, lakin just tek him as a friend, utafaidi mengi.... usikute hata hakutaki masikini, ni basi tu vile anapenda company yako na to hang around with u! kwa wenzetu wanakuwa na best friend wa kike wakiwa wameoa coz sio kila kitu utamwambia mkeo akufanyie or kukushauri, sometimes utataka ushauri kutoka kwa gal ambao hutaki mkeo ajue, and u don't hav anyone to talk to!! ndio maana ya galfriend, or boyfriend! ila sisi huku huyo galfriend ndo mchepuko..... hope u gat my point
 
Hawa watu unaweza mdhania hiv kumbe hata huko hayuko tena hayuko kabisa

umeona eehh.... ye aende nae tu mpaka mwisho, ajue nini kinafuata, hata akimtaka maazuzi si yake kukataa au kukubali
 
umeona eehh.... ye aende nae tu mpaka mwisho, ajue nini kinafuata, hata akimtaka maazuzi si yake kukataa au kukubali

Ni kweli ndomana namuambia yeye wala asitie shaka mwenye maamuzi ya mwisho n yy
 
madamex tell us the truth, you are also falling for him right?. ana mke na watoto and what about you? uko single?

jihakikishie kwanza kama anakutaka. mi nakushauri muwe jst friends wanaofanya kazi pamoja.

well. mwisho wa siku maamuz ni yako. ila shemeji hastahili kutendwa kama yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…