mdomo umeoza


K

karma alvin

Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
51
Likes
2
Points
15
K

karma alvin

Member
Joined Jan 9, 2013
51 2 15
habari wana jf mwenzenu ninatatizo kidonda kwenye mdomo wa juu kimetokea gafla siokikubwa sana ila naona kama hakiponi alafu kutokana na yale majimaji yake kinataka kuambukiza na kwenye mdomo wa chini. je tatizo ni nini?
 

Forum statistics

Threads 1,272,334
Members 489,924
Posts 30,447,865