fr3
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 103
- 17
Habari zenu wa jf, Nina mdogo wa Rafiki yangu wa form4 hawa waliomaliza juzi alifaulu kwa Division 3, kombi zote zimebalancy tatizo hajachaguliwa na pesa hana zakumpeleka private,anaomba ushauri kwa alihitaji mdogo wake ampeleke chuo cha TANAPA lakini ajui afanyeje!
Ushauri please
Ushauri please