Mdogo wangu Mchezaji Balama Mapinduzi nani alikudanganya kuwa Klabu ya Yanga inajua Kujali na Kulipa Fadhila?

Siku hizi hata simu zangu viongozi hawapokei na wengine wame niblock kabisa zaidi na ambiwa tu kua nikipona nitafute timu nyingine sina tena nafasi."Balama Mapinduzi.

Chanzo: simbascdaily

Na bahati mbaya sana Mdogo wangu najua hilo Jeraha ni Kipapai ( Kurogwa ) na Mchezaji aliyekimbia Marekani ambaye Yanga SC imemuacha pia.
Acha ushamba wewe kenge,mambo ya Yanga wewe yanakuhusu nini,, muulize Juma mahadhi alitibiwa matibabu yote na Yanga leo unaongea ujinga kwa Balama
 
Back
Top Bottom