Mdogo wangu Mchezaji Balama Mapinduzi nani alikudanganya kuwa Klabu ya Yanga inajua Kujali na Kulipa Fadhila?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,859
Siku hizi hata simu zangu viongozi hawapokei na wengine wame niblock kabisa zaidi na ambiwa tu kua nikipona nitafute timu nyingine sina tena nafasi."Balama Mapinduzi.

Chanzo: simbascdaily

Na bahati mbaya sana Mdogo wangu najua hilo Jeraha ni Kipapai ( Kurogwa ) na Mchezaji aliyekimbia Marekani ambaye Yanga SC imemuacha pia.
 
Bwana alitoa na Bwana mwenyewe ametwaa, jina lake libarikiwe.

Hawa foreigners wawe wanafanya jitihada ya kuchunguza historia ya baadhi ya vilabu hapa nchini kabla ya kujiunga navyo kwa vile kuna ambavyo vina utamaduni wa kutoa kafara wachezaji na viongozi mashuhusri ili viweze kupata mafanikio.

Historia inaonyesha kuwa Simba Sports Club ndiyo kinara wa mambo haya - TAFAKARI!!
 
Daah! Uzuri mshikaji msomi wa fani tukufu ya sheria...akapige Law School pale aanze kukamata Wateja akiwa kama wakili msomi Mapinduzi Balama.
 
Siku hizi hata simu zangu viongozi hawapokei na wengine wame niblock kabisa zaidi na ambiwa tu kua nikipona nitafute timu nyingine sina tena nafasi."Balama Mapinduzi.

Chanzo: simbascdaily

Na bahati mbaya sana Mdogo wangu najua hilo Jeraha ni Kipapai ( Kurogwa ) na Mchezaji aliyekimbia Marekani ambaye Yanga SC imemuacha pia.
Balama yuko avic town na wenzie akiendelea na mazoezi madogo madogo,iko chanzo chako cha simbadaily unategemea kiandike mazuri kwa Yanga,juma mahadhi tu hajafanyiwa unyama kama huo kipindi chote cha injury ndio afanyiwe balama!mikia ndio wanamuacha fraga sababu ya injury,azam wanasubiri aachwe rasmi wamchukue
 
Siku hizi hata simu zangu viongozi hawapokei na wengine wame niblock kabisa zaidi na ambiwa tu kua nikipona nitafute timu nyingine sina tena nafasi."Balama Mapinduzi.

Chanzo: simbascdaily

Na bahati mbaya sana Mdogo wangu najua hilo Jeraha ni Kipapai ( Kurogwa ) na Mchezaji aliyekimbia Marekani ambaye Yanga SC imemuacha pia.
Tshishimbi alipata jeraha akiwa sebleni mpaka alipoenda kwao mambo yakawa safi ni ukweli yanga kuna vipapai sio yanga tu timu nyingi za tz
 
Back
Top Bottom