Pole sana ...
Jiulize kama mna watoto wstaishije mkiachana...
Kama umewahi kumsaliti kwa njia moja au nyingine samehe mara saba Mara Sabin
Mkeo haifai inahitaj moyo wa ziada kulala na mwanaume ndani na kitanda mnacholala sio
Nan kasema watt hawawezi kuish bila mama?
Daah aisee mkuu una Moyo mgumu sana kwakweli yaan hata hilo la kuomba ushauri aisee? Yaani mdogo wng kanisaidia na ujauzito juu afu nikae na mke? Aisee nisije ni kakutukana bure bora niishie hapa maana jazba niliyokuuliza nayo km Mke wng vile.
Fukuza uyo malayaSitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba
Watoto wanaweza kuishi popote bila ya baba/mama na yeyote ndo mana kuna vituo vya watoto yatima ....
Ila ni vzur watoto wakapata malezi ya wazazi wote kama uwezekano huo upo
Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu. Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na safari za kibiashara), kwa siku hiyo moyo ulikataa kabisa kuendelea na safari niliamua kurudi nyumbani na nikapitia na zawadi za wanangu, mishare ya saa 3 usiku nilifika nyumbani nikasikia vicheko vya mwanaume ndani, sikujua ni nan niliendelea kusogea mpaka dirishani kuchungulia nikaona mke wangu na mwanaume wakiwa uchi wa mnyama (hawakuzima taa) wakifanya sex, niliwahi mlangon na kufunga mlango kwa nje na nikaanza kupigia cm rafiki na jamaa ili kunipa msaada (wakati huo sijui kama ni mdogo wangu). kufungua mlango daaa! mdogo wangu....! Iliniuma sana hata wazazi wetu na ndugu pia. Mdogo wangu alifukuzwa nyumbani baada ya kikao cha ukoo. Shida inayosumbua moyo wangu kwa sasa ni ujauzito aliopewa mke wangu na mdogo wangu. maana tuna miezi 3 hivi tena yeye mwenyewe alishinikiza kutumia mipira ili kupanga uzazi lakini kwa sasa anaujauzito na yeye kakiri mbele ya wazazi kuwa ujauzito ni wa mdogo wangu. Wazazi mamenishauri kubaki na mke wangu lkn nafisi yangu kwa sasa hata kule kumsogelea tu haitaki any way ni mengi lakini kwa haya machache yananifikirisha sana na nakosa jibu yaani nimuache mke wangu(nimefunga ndoa ya kikristo) au nitoe mimba(dhambi)
sijielewi kwa kwer naomben msaada wanajamvi.
Sitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba
Niliwahi kuhudhuria kikao kina kisa kama chako, kwenye kikao mwanamke aliyekuwa akitembea na mdogo wake mumewe akauliza, "Ipi bora, kutembea na mdogo wake mume wangu au kutembea na watu wa nje? kwani mume wangu haniridhishi".
Hakuna cha kutoridhishwaaa ni umalayaa tuu
Huu ni ushauri mzurii sanaaa sina haja ya kutoa yanguuu