Mdogo wangu kaniandikia barua nzito, adai nihame nyumbani nikajipangie maisha yangu

Wadogozako wanaumizwa na kitendo cha wewe kusomeshwa na wazazi kwa fedha nyingi, alafu unarudi kukaa home ukuje ukiwajazia nafasi za kuwa huru na mabebi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vua degree, piga kazi ngumu nanyepesi huku ukiendelea kutafuta ajira.

Ila sana Hayo yote bila Kumuomba Mungu hayatofanikiwa unless unamwamin shetani.
 
Kwanza nianze kwa kukupa pole sana kwa aibu unayoipata kwa wadogo zako. Je watajifunza nini kutoka kwako.

Kwa Elimu yote uliyosema unayo sizani kama unashindwa mamna ya kuyaendesha maisha yako.

Jalibu kutafuta huaminifu sehemu au kwa mtu yeyote unayemjua akupatie mkopo wa peda ili uweze kufanya hata biashara vinginevyo utaaibika sana.

Na kama unaweza kufanya kazi ya kupandisha zege kwenye magolofa usiste kunitafuta nitalusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishasema, hili ni tatizo la elimu yetu, inamuandaa mtu kuajiriwa badala ya kinyume chake. Una BA bado unasubiri ajira, wakati mwingine huwa naona elimu ya la saba iko vizuri kwani waliojiajiri ni wengi.

Dogo kakuchoka kaona akupe makavu. Tafuta namna ya kuhama bro!!!!
 
ila miaka si mingi dogo atakwambia kumbe ilikua si kupenda kwako bro!!!

Ila jiamini unaweza na jaribu kujitoa bro

Jaribu kuonesha una-fight naamini hutokosa wa kukuvusha utapokua unakwama
 
Pole sana mkuu. Ninachokiona kuwa umesha lose nafasi yako kama kaka kwa sababu ya masuala ya kifedha. Huyo Mdogo ako pamoja hana heshima lakini ndo mwenye back up ya wazazi kwa sasa. Wazazi wetu pamoja wanatupenda lakini inapofika wakati fulani humtizama mtoto mwenye pesa au mwenye ushawishi anasema nini.

Usujibu hiyo barua. Fanya mipango ya kuhama lakini usikurupuke. Angalia fursa gani waweza fanya hapo ulipo. Ikishindikana kbsaa kama upo kijijini eneo ambalo wasomi kama wewe ninwachache. Nenda kajitolee ktk shule wewe si mwalimu. Au kama vipi nenda hata serukali ya mtaa kajitolee hata kuframe barua hii unafaa kama upo kijijini hakika utapata pa kuanzia.
My prayers are with you...
 
Pole MWe...angalia ajira zmetoka leo..km hujabahatka kupata jtahd fight ata private utapata.km cvyo bs tafta kaz yyte mtaan Fanya ata upate kijisenti.Lima ata bustani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aya mambo muhimu yapasa uyajue.
1.Aina ya kazi
Usichague kazi ya kufanya hata kama hailingani na kitu ulichosoma.
Shikamana na ule mlango unaofunguka..mathayo4:20

2.eneo la kuishi
Si kila mahali unaweza kufanikiwa.Mungu amekuumbia eneo Fulani la kufanikiwa.jitahidi kumsihi Mungu akuoneshe eneo sahihi na uliombee..yeremia29:7

3.Aina ya watu
Kuna Aina ya watu katk maisha ambao inatakiwa uwapoteze ili uweze kufanikiwa. Mwanzo15:15 na kuendelea
There frnds to keep and there are frnds to loose

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua hiyo barua baada ya mlo waite wazazi na yeye ukiwa unaonyesha kabisa umeumia sana, mpe baba mbele ya mama na wadogo zako hiyo barua halafu mweleze baba amwambie mwanae akuonyeshe wazazi wako ambao yeye ana wajua ukaishi nao maana pale hutakiwi, halafu angalia majibu ya wazazi. Je watafuata ulichomwambia baba au atakuwa upande wa mwanae? Baada ya hiyo kesi usikaribishe upuuzi wowote na huyo dogo kabisa, hadi atambue kosa lake, na wewe acha kufuatilia mambo ya watu humo ndani. Pia chacharika kazi haziji nyumbani wachache Sana ndio tuna bahati hizo za kupigiwa simu na kuambiwa tupeleke CV. jiwekee mkakati kwamba kila siku unaandika barua za maombi kama tano na unazipitisha katika maofisi mwenyewe (Kama una taka ajira ya ofisini) pia usichague kazi hata ya zege wewe beba utafanikiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom