Mdogo wangu Jokate, achana na mitandao ya kijamii

Sijaona shida ya kujitangaza ilihali anafanya kazi sana na kwa juhudi kubwa.

Kujitangaza kwake kunaondoa maendeleo anayoyafanya?

This is too small to discuss in here.
 
Hiki ni kizazi cha social network mkuu, huwezi kukaa chini huku uking'ang'ana na zama zilizopita
 
Oooh shit.
Am not hating Jokate but i don't appreciate her in that position on which she is.
And then am not jealous of her and because of me not completing high school it doesn't mean that i didn't make up in my life.
I have choosen to take diploma in clinical medicine and now am fighting for bachelor of medicine.
You don't know me and you don't know my where about.
I can quit studying and I can also become wealth.
Because until now am wealthy to my satisfaction due to my family's wealthy.
So shut the f**k.
Relaaax. Your appreciation is not needed. Let her enjoy her office she didn't waste more than 30 years in school kama wewe utakavyo waste. Ndo raha ya kuwa na high IQ.

She has brains,power,she is rich, beautiful and humble.
I'm pretty sure hata girl friend wako hafikii robo yake.

I advice you, at your own time please ask God to cleansen that hateful soul.

By the way wealthy families buy their way to Med school sa sijui wealthy family yako ni ya wapi lol. Okay,bye.
 
Kwa umri wake sio mbaya! kwakua hakuna kitu alicho halibu sio mbaya muache tu mkuu. Una shangaa kumuona mkuu wa ilaya katokelezea insta? sio ajabu tumuache afanye kazi yake Mh
 
Najiuliza maswali nakosa majibu..

Hivi kabla ya hizi Social Network kuja Tanzania viongozi wetu walikua wanafanyaje kazi??

Mh Jokate umekua mtu wa social networks kwa kila jambo hadi naona kabisa kwamba kumbe bila ya social networks huwezi kufanya kazi.. Social network ndiyo inakufanya utuaminishe kwamba unafanya kazi na sio uwezo wako binafisi...!!!

Mh Jokate hebu chukua mda wako,jiulize je wewe ni DC unayefanya kazi zaidi ya RC wako ambaye ndiyo boss wako?? Jibu ni hapana, Je ushawahi ona wapi anajitangaza kama wewe unavyofanya??

Mh Jokate je kweli wewe ndiyo DC unayefanya kazi zaidi kuliko DC yoyote hapa Tanzania?? Jibu ni hapana kuna wengine wanakuzidi mbali tu na wala huwezi fika hata robo ya ubunifu wao kwenye kutenda kazi, Je ulishawahi ona wapi wanatuaminisha kupitia social netwoks kwamba wao wanafanya kazi sana??

Hapo Wilayani kwako,una Mbunge kijana na ni Waziri mwenye dhamana ya Tamisemi,ni Waziri anayechapa kazi kweli kweli, Je ulishamwona anajitangaza kama wewe?? Kwa nini usimtumie Jafo kwenye mambo yako yakiutendaji hasa kwenye sector Afya, Barabara na Elimu? Maana vyote hivi vipo chini ya Jafo na anavisimamia kwenye Wizara yake....

Kuna mtu anaitwa Mtaka ni RC wa Simiyu ulishawahi ona anajitangaza kwenye ufanyaji kazi zake?? Leo nenda Simiyu ni moja ya Mikoa inayokuja juu kwa kasi ya 4G kwenye suala la maendeleo,Lakini hutamkuta hata siku moja Mtaka kafanya jambo lakujitangaza...

Kwanza shukuru Mungu umepewa Wilaya ambayo haina changamoto za kijinsia,kuna wilaya au mikoa hadi leo hii hawezi ongoza mwanamke... zaidi watakua wanakudharau sana tu nakukuita majina ya ajabu ajabu sana....

Chapa kazi achana na social networks, waachie Wananchi wenyewe waseme,na sio wewe kutuaminisha kwamba unaweza fanya kazi kwa social networks...

Leo upo pale,lakini kuna siku hautakuwepo hapo, Je wananchi utakuwa umewaachia alama gani?? Kuna watu walikua wanapenda kujitangaza kila wanachofanya,lakini leo hii wanaishi maisha ya aibu,wewe bado nikijana mdogo sana kwa umri na hata kwenye uwanja wa siasa...

Punguza Social Networks... Fanya kazi bila ya Social Networks...
Hana Mume, huko ndipo anapumzikia.
mwanamke kama huyu ana stress za ndoa, anatamani mume kwa udi na uvumba sema sasa nao wanaume wakiwaza list hii wanaogopa:-

1:-mr blue

2: juma nature

3: Ali kiba

4: diamond platinumz

5. Hasheem dhabit(inasemekana lina mguu wa tatu mkubwa, akipita sehemu usifuate nyuma)
.
na wale wa uttotoni, utamfugaje kunguru huyo?
 
kwa kuongezea tu
jokate kichwa sio bashite yule... jokate o level katia A za kumwaga pale st antony.. tena darasa la science.. alipiga division 1 point 11 o level...
Ngoja nihakiki kwa washkaji zangu niliosoma nao A-Level wakitoka darasa moja na Jokate O-Level.Nitarudi..
 
Kwanza katika jambo ambalo Magufuli nilimtusi kimoyomoyo na kumdharau ni kumchagua Jokate kuwa DC.
Kuna watu wana talanta ya uongozi lakini sio yule mkatika viuno.
I can even rule better more than her.
Kwa mamlaka niliyopewa, nakuteua uwe mjumbe wa nyumba 10
 
mimi namtetea jokate..
kabla hata hajateuliwa ukuu wa wilaya.. jokate alikuwa anaishi maisha ya social network sana.. kama anavyoishi mobetto, wema sepetu, lulu, diamond plutnumz, tunda , na wegineo..
jokate ni x beauty queen anaependa social network.. maisha ya photoshoot na kuuza sura mtandaoni hajayaanza jana wala leo..
hata waliompa ukuu wa wilaya wanajua ndivyo alivyo..
jokate maisha ya ma photo shoot na kina benatilio, na kina lavie ni toka kitambo.. kabla ya ukuu wa wilaya yeye kila siku anapost mapicha picha
sasa why aache?
na jokate mjanja sana anajua kutumia social media kimanufaa.. kama hamisa mobetto au lulu vile.. tofaut wao hawajaenda sana shule jokate anawazidi uelewa...
jokate toka amalize chuo hajawai kuajiriwa.. ila ameshapata dili kubwa sana kwa nguvu yake mtandaoni..
kuna wachina walimpa dili la nywele za kidoti, ma begi ya kidoti akalamba hela nyingi sana kisa tu kutangaza nywele zao.. akijifanya za kwake ili fans wake wanunue sana na kweli wakauza sana..
jokate alikuwa anakusanya wadada wazuri fans wake anawaita kidoti models wanamsaidia kutangaza nywele bureee huku yeye anapiga hela za wachina.. na hapo hapo wateuzi wamemuonea mtandaoni
nba wameshampa jokate dili na kumsafirisha hadi usa kama balozi wao huku hajawai hata kucheza basket serious popote sabab ya nguvu yake mtandaoni...
na anajua kabisa anachofanya hayo mapicha picha ya kisarawe na harambee yatampa ubunge, uwaziri na hata urais siku moja ikifika zamu ya rais mwanamke kama utani..
Jokate na instagram ni kama Trump na twitter hawaachi kupost hata iweje
kwa kuongezea tu
jokate kichwa sio bashite yule... jokate o level katia A za kumwaga pale st antony.. tena darasa la science.. alipiga division 1 point 11 o level...
shule ya day dar , mtoto mzuri kama jokate anatongozwa daily na bado akatia div 1 point 11 sawa sawa na wasongo wa mzumbe, ilboru, marian , wanaokesha kwenye mabeseni..
jokate darasani anajiweza sana

Kwa saundi hizi Jokate lazima akuelewe, imetosha sana
 
Kwanza katika jambo ambalo Magufuli nilimtusi kimoyomoyo na kumdharau ni kumchagua Jokate kuwa DC.
Kuna watu wana talanta ya uongozi lakini sio yule mkatika viuno.
I can even rule better more than her.

Hivi wewe unajiweza kweli, punguza kiherehere, eti unamzidi Jokate, labda kwa Id fake hii
 
Hivi wewe unajiweza kweli, punguza kiherehere, eti unamzidi Jokate, labda kwa Id fake hii
Bro kila mtu si ana mtazamo wake???
Hunijui sikujui we changia mada pita.
Hujui nini nimefanya wapi nimepitia na wapi naelekea.
We changia mada seppa.
 
Back
Top Bottom