Mdogo wangu Jokate, achana na mitandao ya kijamii

Kwanza katika jambo ambalo Magufuli nilimtusi kimoyomoyo na kumdharau ni kumchagua Jokate kuwa DC.
Kuna watu wana talanta ya uongozi lakini sio yule mkatika viuno.
I can even rule better more than her.
Hahah we jamaa

Hivi wakristo haturuhusiwi kuoa wake zaidi ya wawili kama tungekua tunaruhusiwa

Jmaa .. Ooh anyway niishie hapa
 
Inashangaza sana pale ambapo dunia inaenda mbele lakini kuna watu bado wanashindana kuivuta nyuma,sikutegemea ktk dunia ya sasa ya utandawaz na teknolojia kuna watu bado wanaona social networks kama upuuzi,huku ni kupigana na wakati na wahenga walishasema wakati ni ukuta ukipigana nao utaumia mwenyewe.kiufupi tu nikuelimishe kwamba social network ndio mahala ambapo kwa sasa panaongoza kuwa na wafuatiliaji wengi kuliko taarifa za habari,au magazeti na kwakuwa uongozi bora unahimiza uwazi na taarifa kwa wananchi basi wajanja walioelimika wanaitumia social network kuonyesha kaz wanazofanya na kwakweli ktk dunia ya sasa ukisubiri watu wakuchunguze huko ulikojifungia ili watuambie kwamba wewe ni mchapakaz basi utasubiri sana,sisi tunataka sio tu ufanye kaz Bali pia uonekane kufanya kazi.nakuhakikishia miaka mitano ijayo hatokuwa hapohapo atapanda zaidi kwakuwa kazi zake zinaonekana
 
huyu dada ana cv nzuri na yuko vizuri kichwani huwezi mfananisha na watu kama kinawema wenye kabeji kicwani badala ya ubongo

jojo.jpg
jojo.jpg
 
Kwanza ana uchapaji kazi gani km sio magumashi tuuu???
Kisarawe still iko nyuma kimaendeleo vile vile.
Hivi angekuwa anachapa kazi km RC Mwanri wa Tabora mtu anayeibadilisha Tabora kila kukicha ingekuaje???
Msanii msanii tu angebaki ktk sanaa zake tu huko politics and ruling needs people with the nature and talent of doing so.
Aisee... weee kama sio mchawi sijui!! Haya nenda kawe DC wa Kisarawe!
 
Humility ni moja ya virtue ya kuwa kiongozi mzuri. Ni kitu ambacho umekosa,katika hii post yako.
Yeah no body is perfect but it looks on how weakly you are on the profession.
Jokate doesn't have a talent or is not natured to be a leader or really qualified politician.
That's why there is a teacher by completing studies of the profession but no talent on teaching.
Until he/she cannot make students understand what he/she teaches that's resembles to Jokate.
And there is a teacher by talent whom can make students understand what he/she teaches even if without completing studies of the profession.
So we need talented or natured leaders and politicians to make us develop.
Not like Jokate.
 
Yeah no body is perfect bado it looks on how weakly you are on the profession.
Jokate doesn't have a talent or is not natured to be a leader or really qualified politician.
That's why there is a teacher by completing studies of the profession but no talent on teaching.
Until he/she cannot make students understand what he/she teaches that's resembles to Jokate.
And there is a teacher by talent whom can make students understand what he/she teaches even if without completing studies of the profession.
So we need talented or natured leaders and politicians to make us develop.
Not like Jokate.
Kafanye mazoezi ya lugha za watu kwenu huko sio hapa Pole sana dogo.
 
huyu dada ana cv nzuri na yuko vizuri kichwani huwezi mfananisha na watu kama kinawema wenye kabeji kicwani badala ya ubongo

View attachment 1167604View attachment 1167604
Kaka kuna CV za makaratasi na performance.
Asa Tz watu wengi tuna good cv lakin poor performance on the profession.
Hii inatu cost kwasababu tunapokuwa twasoma kupata na hzo cv tunakariri sio kuipanua akili ili ije kuwa productive baadae.
Ni sawa na huyo dada.
 
mimi namtetea jokate..

kabla hata hajateuliwa ukuu wa wilaya.. jokate alikuwa anaishi maisha ya social network sana.. kama anavyoishi mobetto, wema sepetu, lulu, diamond plutnumz, tunda , na wegineo..

jokate ni x beauty queen anaependa social network.. maisha ya photoshoot na kuuza sura mtandaoni hajayaanza jana wala leo..

hata waliompa ukuu wa wilaya wanajua ndivyo alivyo..

jokate maisha ya ma photo shoot na kina benatilio, na kina lavie ni toka kitambo.. kabla ya ukuu wa wilaya yeye kila siku anapost mapicha picha

sasa why aache?

na jokate mjanja sana anajua kutumia social media kimanufaa.. kama hamisa mobetto au lulu vile.. tofaut wao hawajaenda sana shule jokate anawazidi uelewa...

jokate toka amalize chuo hajawai kuajiriwa.. ila ameshapata dili kubwa sana kwa nguvu yake mtandaoni..

kuna wachina walimpa dili la nywele za kidoti, ma begi ya kidoti akalamba hela nyingi sana kisa tu kutangaza nywele zao.. akijifanya za kwake ili fans wake wanunue sana na kweli wakauza sana..

jokate alikuwa anakusanya wadada wazuri fans wake anawaita kidoti models wanamsaidia kutangaza nywele bureee huku yeye anapiga hela za wachina.. na hapo hapo wateuzi wamemuonea mtandaoni

nba wameshampa jokate dili na kumsafirisha hadi usa kama balozi wao huku hajawai hata kucheza basket serious popote sabab ya nguvu yake mtandaoni...

na anajua kabisa anachofanya hayo mapicha picha ya kisarawe na harambee yatampa ubunge, uwaziri na hata urais siku moja ikifika zamu ya rais mwanamke kama utani..

Jokate na instagram ni kama Trump na twitter hawaachi kupost hata iweje

kwa kuongezea tu
jokate kichwa sio bashite yule... jokate o level katia A za kumwaga pale st antony.. tena darasa la science.. alipiga division 1 point 11 o level...

shule ya day dar , mtoto mzuri kama jokate anatongozwa daily na bado akatia div 1 point 11 sawa sawa na wasongo wa mzumbe, ilboru, marian , wanaokesha kwenye mabeseni..

jokate darasani anajiweza sana
Wow
 
Hapana baba angu tuongee reality bhana.
Jokate is not natured or talented to be a productive and virtue leader or politician.
Nonsense!

She is doing a great Job so far!

Ana jitihada kubwa ya kuhamasisha maendeleo katika local level. Sio mtu wa kusubiri neema za serikali kuu na kulia lia hovyo kama wanasiasa wengine.

Oh serikali this, serikali that...

Nimeipenda hiyo approach yake ya kuwafanya watu wajue kuwa maendeleo ni wao wenyewe!
 
Kaka kuna CV za makaratasi na performance.
Asa Tz watu wengi tuna good cv lakin poor performance on the profession.
Hii inatu cost kwasababu tunapokuwa twasoma kupata na hzo cv tunakariri sio kuipanua akili ili ije kuwa productive baadae.
Ni sawa na huyo dada.
ahaaa sheikh, As Salaaam Alaikum.Bi dada anajitahidi ,hata nyazifa mbalimbali alizoshikilia ni kwa ajili ya weledi wake ambao hata ulipelekea ateuliwe kuwa DC
 
Yeah no body is perfect but it looks on how weakly you are on the profession.
Jokate doesn't have a talent or is not natured to be a leader or really qualified politician.
That's why there is a teacher by completing studies of the profession but no talent on teaching.
Until he/she cannot make students understand what he/she teaches that's resembles to Jokate.
And there is a teacher by talent whom can make students understand what he/she teaches even if without completing studies of the profession.
So we need talented or natured leaders and politicians to make us develop.
Not like Jokate.
Bull
 
Nonsense!

She is doing a great Job so far!

Ana jitihada kubwa ya kuhamasisha maendeleo katika local level. Sio mtu wa kusubiri neema za serikali kuu na kulia lia hovyo kama wanasiasa wengine.

Oh serikali this, serikali that...

Nimeipenda hiyo approach yake ya kuwafanya watu wajue kuwa maendeleo ni wao wenyewe!
Sawa bro mtazamo wako ni tofauti na wangu.
Mm bado sijaona kaz yake kaka angu.
Ila kwasababu kila mtu huwa na mtazamo wake basi sawa.
 
Yeah no body is perfect but it looks on how weakly you are on the profession.
Jokate doesn't have a talent or is not natured to be a leader or really qualified politician.
That's why there is a teacher by completing studies of the profession but no talent on teaching.
Until he/she cannot make students understand what he/she teaches that's resembles to Jokate.
And there is a teacher by talent whom can make students understand what he/she teaches even if without completing studies of the profession.
So we need talented or natured leaders and politicians to make us develop.
Not like Jokate.
You sound like someone from highschool trying to write a GS essay lol.
 
Back
Top Bottom