Mdogo wangu anaweza kusoma A level?

markbusega

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
826
847
Habari wana jf!

Ninamdogo wangu alihitimu mwaka Jana ana div 3 ya 22 ameharibu michepuo karibu yote ana C 6 za kemia, baiolojia, jiografia kiswahili civics na,English historia d,phys na math f anaweza kuchaguliwa kweli hata mchepuo wa cbg kwa while za serikali ninawasiwasi kwa vile hesabu ana f kwamba hawatamchukua sababu mchepuo huo pia wanasoma heaabu

Karibu kwa maoni
 
Back
Top Bottom