a small one
Member
- May 22, 2017
- 51
- 27
Habarini wana jf, nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016, na matokeo yake yalikua hivi...............physics D, chemistry C, biology C, geography C, English C,civics C, kiswahili C,history D, na basic math F.....swali langu ni course gani ya afya anaweza kusomea maana kila nkiangalia hesabu amezingua basi nakata tamaa juu ya course za afya......msaada wenu please wakuu