anaweza kuendesha trekta au folk lift!
Wapendwa wana jamii forums, nasikitika week iliyopita wapendwa na watu wa mungu walijibu kichwa cha hapo juu na walinipa email address za watu ambao wanatafuta drivers kuwajiri.
Nikapewa email zao lakini sikuwahi kutuma maana hata cvsoft copy nilikuwa sina kwenye computer yangyu . Sasa leo nimepewa cv kwenye soft copy ili nitume naangalia zile contacts naona zimefutika.
Nawaomba samahani waungwana nipatieni tena zile contacts za watu wanaotaka kuajiri drivers
mdogo wangu alimaliza veta na chuo cha usafirishaji anaweza kuendesha magari makubwa na madogo.
Barikiweni
mwambie aende ultimate security atapewa kazi ya kuendesha magari ya walinzi, sharti atapiga gwaride kabla ya kuajiriwa, mshahara basic laki na sita jumlisha masaa ya ziada, kama akiridhika amtafute jamaa mmoja anaitwa juma,
Mpendwa, ni vizuri wasiliana kwanza na wahusika kwa simu maana kutoa CVs copy kwa watu uwe makini sana kwa tahadhari ili upate watu waaminifu, vinginevyo waweza kutuma kwa wasio wazuri. Unajua tena kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo
Asante sana kwa majibu yako
Je ultimate security ofisi zao ziko wapi? Akijua ofisi zao ziko wapi ndipo atamuulizia Juma
Unaweza kumtumia sms ya kumpatia namba ya kaka Juma: 0713857031 majina ya mdogo wangu anaitwa Sendisha
asante
juma hana simu, ofisi za ultimate zipo barabara ya tunisia karibu na makaburi ya kinondoni maarufu makaburi ya kanumba, au akimkosa juma amuulize erick au mwenyekiti wa kamati ya nidhamu, aende tu hamna shida.
helkopta haiendeshwi, bali inarushwa.Daaaah afazali,anajua kuendesha helkopta?ni mda mrefu nimetafuta sana driver of my helkopta plz contact with house boy for more information,0652407419
Daaaah afazali,anajua kuendesha helkopta?ni mda mrefu nimetafuta sana driver of my helkopta plz contact with house boy for more information,0652407419