Mdogo wangu ananitaka kimapenzi

Kweli kuna watu mnajua kujitoa ufahamu aseeeh! Tupa kule ,kama ni sumu anywe afie mbele huko kuliko kuletea nuksi family
 
Hili la kujua miaka yao nadhani ni la msingi,huyo anaongozwa na tamaa za mwili tuu!jinsi ulivyo unawezelana ndio umeamsha tamaa zake!maana hata kupenda ulipaswa usijipotezee muda kwa kufikiria kitu ambacho kimadili ni kosa kubwa!
 
Halafu inaonesha kama vile umeshampa , hapo ulipoandika wewe unataka muheshimiane kama zamani. Uongo , kweli?
 

Acha uongo
 

Attachments

  • IMG-20130827-WA0002.jpg
    10.7 KB · Views: 438
kunamtu mmoja alitishia kujiua, jamaa angu akampelekea sumu na akamfungia chumbani sku nzima...jioni akagonga mlango anataka kutoka nje.
 
U need to show & tell him that he must not think of bad things,,,,u re old enough take action
 
usipotoshe mkuu dini ya kiislam hairuhusu ndugu wa damu kuoana.
Mtoto wa mama mkubwa si ndugu wa damu. Hata ukoo siku zote unakuwa tofauti na wa kwako na wakati mwingine kuna uwezekano hata kabila mkatofautiana kabisaa.
 
Ingelikuwa ni ndoa, basi dini ya Kiislam inaruhusu.

Lakini zinaa, hapana ruksa.

Huu ni upotoshaji. Dini ya kiislamu hairuhusu ndoa ya ndugu wa damu. Mtoto wa mama mkubwa au mdogo hawa ni ndugu wa damu. Hata ukienda kwenye nadharia ya vinasaba utakuta kwamba hawa watafanana sana katika genes kuliko mtoto wa baba mkubwa au mtoto wa shangazi. Hapa umepotosha bwana rocky city. Mwongozo wa nani amuoe nani unapatikana katika Quran 4:22, 4:23, 4:24 na kutafsiriwa vizuri na hadithi mbalimbali za Mtume (SAW). Usilolijua usiliseme maana utakuwa umeleta uzushi. Na uzushi katika dini huleta balaa na mwisho wa balaa ni adhabu itokayo kwa Allah. Audhubillah min dhaalika.
 
Story za kutunga peleka kwa watoto wenzio facebook, kwanza mtu anaetaka kujiua huwa hasemi bhana.
 
Mpe kidogo, umewapa wangapi usowajua bana na wakaenda zao? Sembuse anayetaka kujidhuru hafu ni Ndugu yako? Mi mbona nimeshalia sana kwa binamu na watoto wa mama wadogo na tukaukomaza undugu wetu! Hawezi kuondoka nayo na Akifa utajilaumu milele, mpe kidogo ila umwambie asizoee coz haruhusiwi kukuoa.
 
ulishawahi kumuonjesha kale katunda katamu kuliko matunda yote kwenye dunia hii? I mean tunda K alias tunda V
 

duh.mkuu punguza ukali wa maneno ingawa ni kweli dogo kachemka.
 

mmh.nyambafu!haijakaa sawa hii mkuu.
 
Iyo ya ndugu ni imanitu kamanindugu mbonawotenindugu kamaanakupenda kweli mkubalie
 
asee kweli maadili hakuna,enzi za mwalimu angekula viboko adharani jingaaa sana,analeta mambo ya warabu,katika kosa utalo fanya nikumkubalia hata kumuonjesha tunda.jaribu kuepuka kuwa nae karibu
 
Mtoto wa mama mkubwa si ndugu wa damu. Hata ukoo siku zote unakuwa tofauti na wa kwako na wakati mwingine kuna uwezekano hata kabila mkatofautiana kabisaa.
kwa maana hiyo binti..unamaanisha
 
rahisi sana hiyo mwambie ajitambulishe kwenu
 

Ndugu yako ni yule mliotoka nae tumbo moja hao wengne we gawia tu.
 
BANGE hizi zitaliangamiza taifa letu.

Sio kila kitu tuwe tunaisingizia bangi jamani, una uhakika gani kama huyo bwana anatumia au huyu dada ame mention wap kwamba kaka yake anavuta bangi? Jenga hoja ya msingi bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…