Mdogo wake Diamond (S kide) amchana Harmorapa

Huyu nae ndio hoooooo hovyo kabisa sasa singeli na hip hop wapi na wapi.... asitake kujifananisha na hamorapa amfikii hata kidogo kwanza hajui hata kuiimba hiyo singeli yenyewe....afu huyu anatafuta kick mala zote yeye kuwaimba wasanii afu hana nyota ya kuwa star sasa anatafuta umaarufu kupitia hamorapa
 

Harmorapa msanii Wa ukweli kuliko wote
 
S Kide hatokuja kutoka labda ataishia kwao Mbagala kila kitu anataka kujibu.
Man Fongo katoa Hainaga Ushemeji yeye akaja na Ushemeji Upo.
Ney katoa Shika Adabu Yako yeye akatoa Chizi wa Manzese, hapo ana rundo la nyimbo za kuwasema wasanii wengine.

Mara aseme yeye na Diamond ndugy yaani ni shida, ila kitu kimoja ni dhahiri ya kwamba hatokuja kutoka.
 
Wote waliremba lakini Ney alimpa vitasa vya kutosha huyu bwana mdogo maana hana adabu.
 
Muziki wa kiki huu atabaki kuwataja tu wenzake
 
who the fvck is s-kide? hawezi akawa anamtaja taja ovyo hamorapa alafu raia tukae kimya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…